Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Yote hiyo ni kwa sababu wanaume mmezidi umalaya! Ninyi si ndiyo mnajisifu kuwa hamuwezi kutulia na mwanamke mmoja na kwamba unaweza kuwa na wanawake kumi lakini kati ya hao wote hakuna mwenye uhakika kuwa utamuoa maana utakayemuoa unamjua wewe mwenyewe mwanaume!

Kwahiyo mwanamke akishajua hivyo anaona kama hapo kwako unampotezea muda tu anajua tu kuwa anatumiwa na mwisho wa siku ataachwa sasa na yeye afanyaje! Anaona bora na yeye achune pesa zako ili mwisho wa siku wote muwe mmepoteza kitu yaani yeye umempotezea muda na wewe kakupotezea pesa maana ninyi wanaume hampotezewagi muda ninyi si mnaoa tu hata mkiwa wazee bwana!
Hapo sasa unakuwa unaongea vitu vya kuclamisha. Kwahiyo unataka kusema kila mwanaume ana matatizo ya kutoka nje ya mahusiano?!

Maana hii ya wanawake ni wazi kabisa hata wewe watazame rafiki zako, kama wametulia na mtu m'moja basi hiyo ni bahati sana ila wengi huwa wanakuwa ni mapepe sana wanataka kupata masilahi kwa maana ya pesa na vitu vinavyonunuliwa kwa gharama plus huduma kama saloon, outings, chakula cha gharama na kadhalika.
 
Pops mimi huwa napenda sana fairness kwenye kila kitu na hapo ndipo watu wengi wanaposhindwa kunielewa! Mtu akitaka tugombane aniambie eti fairness kwenye hii dunia (especially kwenye mapenzi) haiwezekani kwamba eti lazima mmoja aumie!

Huwa sitakagi kuelewa kabisa hiko kitu yaani inakuwaje watu wanapendana halafu mtu anaruhusu mwenzie aumie! Na naona jamii inalazimisha kabisa hiki kitu ndiyo kiwe hali halisi kwa kisingizio cha kuwa ni nature wakati hili ni janga kama majanga mengine tu!
We umesikia wapi au kuona wapi jamii inasema mwanamke aumie ila mwanaume asiumizwe.
 
Wana Upendo na heshima za version yao tu
Hamna... Mnapenda tu kukuza mambo, ndio maana hata vitabu vya dini vinatuagiza wanaume kutokufanya majadiliano au kuingia mabishano na wanawake sababu mwisho wake ni kujishushia heshima.

Mwanamke asiekubali kujishusha huwa hanaga hoja za msingi..... Utabishana na mwanaume utamuweza, sisi wenyewe wanaume kwa wanaume tunashindwana na kuzidiana mabavu muda mwingine.
 
Anayelalamika sana ndio anayekomoka
Upo sahihi ni kweli anae lalamika zaidi ndie anaekomoka. But unasahau jambo..... Naweza kuwa nakomoka kwa maumivu ya kuona ninae mjali anaangamia.

Mfano ni baba yako na mama yako, wanaweza kuwa wanakomoka kukulipia ada mtoto wao usiependa shule na unacheza na kuruka na ujana, but yale maumivu wanapitia ni sababu ya hofu yao juu ya maisha yako sasa na baadae lakini kubwa zaidi ni namna unavyoangamia kwa kutojijali ile hali wao wanakutakia mema uwe salama.

Turejee katika mahusiano, unadhani mfano mimi nakudate wewe halafu uniletee misotojo nikawa nalalamika kuwa uache kile unachofanya kinachoathiri mahusiano yetu, unadhani nalalamika sababu nakomoka mimi kama mimi au nakomoka sababu ya kujaza nafsi yangu na hisia za kukujali wewe mpenzi wangu wa moyo na mtima wangu my love Kee_tah ambaye unajirusha rusha sababu ya kusikiliza maneno ya rafiki zako wachache wapuuzi ambao kesho ukiwa unavuna hasara wataishia kukupa pole tu na kulia na wewe kinafiki kisha watapita hivi kuendelea na maisha yao.....

Utakapogeuka na kunitazama usoni ndipo utajua yale machozi na malalamiko hayakuwa kwaajiri yangu mimi tu bali ni future yetu.

Sawa mpenzi...... Hebu naomba tusibishane kabisa kuhusu hili.
 
Hapo sasa unakuwa unaongea vitu vya kuclamisha. Kwahiyo unataka kusema kila mwanaume ana matatizo ya kutoka nje ya mahusiano?!

Maana hii ya wanawake ni wazi kabisa hata wewe watazame rafiki zako, kama wametulia na mtu m'moja basi hiyo ni bahati sana ila wengi huwa wanakuwa ni mapepe sana wanataka kupata masilahi kwa maana ya pesa na vitu vinavyonunuliwa kwa gharama plus huduma kama saloon, outings, chakula cha gharama na kadhalika.
Hivi siyo ninyi wanaume wenyewe mnaosemaga kuwa hakuna mwanaume mwenye mwanamke mmoja labda awe na Matatizo
 
Hamna... Mnapenda tu kukuza mambo, ndio maana hata vitabu vya dini vinatuagiza wanaume kutokufanya majadiliano au kuingia mabishano na wanawake sababu mwisho wake ni kujishushia heshima.

Mwanamke asiekubali kujishusha huwa hanaga hoja za msingi..... Utabishana na mwanaume utamuweza, sisi wenyewe wanaume kwa wanaume tunashindwana na kuzidiana mabavu muda mwingine.
Aisee, lemme save my energy.
 
Kwa sababu sijawahi kuona maovu ya wanaume yakikemewa kama yanavyokemewa ya wanawake! Zaidi sana utapewa sababu zile zile kuwa oh wanawake ndiyo wanaumia zaidi ilihali wanaume hawana cha kupoteza mara oh sijui wanawake wakianza wanaume ndiyo watafuata!

Hii inafanya jamii ione kama wanaume kufanya maovu ni sawa tu kwa sababu hayakemewi na ati hawana cha kupoteza! Haya tangu muanze kutoa hizo sababu zisizo na kichwa wala miguu zimesaidia nini kwenye jamii je kuna matokeo yoyote chanya!

Hivi kwanini tusiache tu kuwa biased na tuwe tunakemea maovu ya jinsia zote bila kuangalia nani anaumia zaidi au sijui nani hana cha kupoteza! Kwa sababu unaposema eti mwanamke ajitunze halafu hapo hapo hukemei tabia ya wanaume kurubuni au kubaka wanawake huoni kama utakuwa unafanya kazi ya kumtawaza mbuzi!

Hiyo jamii mnayoitaka ya kwamba eti mwanamke ndiyo aanze kubadilika halafu mwanaume atafuata haipo na haitakaa itokee zaidi sana ndiyo mnazidi kuharibu tu! Na hata tukitrace back kwenye history utagundua wanaume ndiyo walioanza maovu kwenye mapenzi hata pale ambapo wanawake wengi walikuwa innocent (naomba usiniletee story za Adam na Evah hapa naongelea ancient na medieval times)!

Kwahiyo mtu atakushangaa utakapoanza kumuambia eti wanawake ndiyo waanze kubadilika halafu wanaume ndiyo watafuata kana kwamba wanawake ndiyo walianza hayo maovu! Lazima atakuuliza kama ninyi ndiyo mlianzisha na mkashindwa kubadilika hata pale wanawake walipokuwa innocent ndiyo mnataka mbadilike sasa hivi!

Ni wazi kwamba wanaume wengi wanataka jamii ambayo ni wanaume tu ndiyo watakaoruhusiwa kufanya maovu na ionekane ni sawa (kama ilivyokuwa zamani) ila wanawake wanatakiwa kuwa wakamilifu tu siku zote! Mnashindwa tu kusema directly mnakaa mnazunguka lakini mtu akisoma between the lines ya mnavyoviandika atagundua hiki ndicho mnachokitaka!

Na mbaya zaidi ni kwamba hiki kitu hakiwezekani na hakitakaa kiwezekane! Wanaume wa zamani walipokuwa wanafanya maovu hawakujali mambo ya kubadilika walijiona wako sawa tu na walitegemea wanawake wangeendelea kuvumilia maovu yao milele!

Sasa tuko kwenye modern times wanawake wameamua kujibu mapigo baada ya kuchoka kuvumilia ujinga ndiyo wanaume wanaanza kuongelea habari za kubadilika! Hii ni baada ya kuona na wao wanaanza kuumia sasa kutokana na wanawake kuamua kujibu mapigo ndiyo wanajifanya wamekuwa wahubiri wa mabadiliko!

Tena na bado kwenye hayo mahubiri wanaanza kuleta siasa sasa eti wanawake ndiyo waanze kubadilika halafu wanaume watafuata! Wakati ukweli ni kwamba wanataka turudi kwenye jamii za zamani zile ambazo mwanaume alikuwa anafanya makosa na mke anavumilia tu kwa sababu mwanaume kufanya makosa ilikuwa kawaida na mke kukosea ilikuwa ni jinai!

Kama kila jinsia imeshindwa kubadilika kwa nafasi yake mimi naona tuendelee tu hivi hivi huu mchezo wa kuviziana na kupimiana! Hata kama wanawake ndiyo wanaumia zaidi lakini trust me sidhani kama siku hizi wanaumia kama walivyokuwa wanaumia zamani!

Maana imagine zamani mwanamke alikuwa anaumia huku hafaidiki na chochote ilihali mwanaume alikuwa hana cha kupoteza kabisa! Siku hizi mwanamke anaumia lakini atleast wana pa kujipoozea ambapo ni kwenye pesa za wanaume na hiki kinawaumiza wanaume wengi ndiyo maana wanalalamika kingekuwa hakiwaumizi wasingekuwa wanalalamika!

Fact is mwanaume huwa hapendi kupoteza chochote mbele ya mwanamke yaani siku zote anapendaga atoke mshindi kwenye hii vita ya mapenzi (ofcourse siku hizi mapenzi yamekuwa vita)! Sasa inapotokea wanaona kuna vitu wameanza kupoteza hasa pesa lazima tu waanze kujifanya wahubiri wakati wasingekuwa wanapoteza hata hizo pesa wasingekuwa wanaongea chochote narudia tena wanaume hamjawahi kusimamia kidete suala lolote ambalo haliwanufaishi ninyi binafsi!
Umeridi Sasa katika ubora wako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi siyo ninyi wanaume wenyewe mnaosemaga kuwa hakuna mwanaume mwenye mwanamke mmoja labda awe na Matatizo
Huo ni wivu wako ndio unakufanya kuamini hizo kauli. Sio kila mwanaume anapenda kuwa na wanawake wengi....
 
Punguza kupenda bure na rahisi mkuu m’ spoil uyo binti, ameshakujua na wewe ndo wale wa “njoo ghetto uchukue hiyo hela” ndo anakuja kuifata tu apo, narudia tena punguza kupenda vya bure m’spoil uyo binti....
Ndioo vitu mnavyopenda
 
Back
Top Bottom