Tatizo lenu kubwa ndiyo hilo! Kila kitu huwa mnawaza ushindani tu!
Na ndiyo maana nikasema siku hizi ni mwendo wa kuviziana tu na kupimiana nani aanze! Badala ya kila jinsia kujitathmini na kubadilika kwa nafasi yake!
Hapa hatusemi eti nani ajishushe wala nani awe juu! Wanawake waangalie wanakosea wapi na wakati huo huo wanaume waangalie wanakosea wapi na siyo kupimiana kama hivi!
Halafu mnaposema wanawake ndiyo tunaumia zaidi huwa nashangaa sana! Inakuwaje ninyi ambao mna side effects ndogo ndiyo mnalalamika sana kuliko hao wenye side effects kubwa!
Utasingizia eti mnatupenda ndiyo maana mnatuambia lakini hapa nitakupinga kwa sababu wanaume hamjawahi kusimamia kidete suala lolote ambalo halina maslahi kwenu binafsi! Yaani bado hamjafikia kuwa na upendo huo wala msitufanye watoto!
Hebu ninyi ambao hamna side effects zozote acheni kulalamika halafu tuone hii hali itaendaje! Hebu kaeni kimya kama wanawake walivyokaa kimya halafu tuone itakuwaje maana ninyi siku zote si hamnaga cha kupoteza bwana!
Nani kakwambia hatuna benefits kwa mwanamke mwenye mwenendo mzuri...... Benefits tunazo sana.... Sababu kwanza katika kundi la wanawake kuna mabinti zetu, dada zetu wadogo zetu wa kike, lakini muhimu zaidi wanawake tutakaokuja wao ili watulelee watoto wetu.
Upuuzi ukifanya wewe kama mwanamke mimi utakuja gharimu familia yangu. Mfano sasa hivi mnatoa sana ujauzito unaotakana tabia zenu za kulala na wanaume sita nyakati tofauti ndani ya masaa 24 kisha mnameza P2 ili kuzuia ujauzito usio na matarajio nao, hii kwangu ni hatari sababu nikiwa sijui history yako siku nimekuoa nakuweka ndani nitakuja pata fedheha nikija taka kupata nawe mtoto lakini pia nikitaka kuishi nawe kuna fedheha ya mimi kujua kuna wanaume waliopita na wewe na wapo wanatuona, kuna raha gani kushikana mikono na mwanamke ambaye katika kila sehemu nitakwenda nae kutakuwa na watu watakaokuwa walishamvmvua chupi na kuingiza mijusi yao katika mji wake wa uzazi na kuacha shahawa zao ndani yake.
Hebu wazia siku nakuja na rafiki yangu kwangu nakutambulisha kwake anastuka ni mwanamke ambae alishawahi kumtafuna kirahisi siku za nyuma au pengine si yeye tu ila ni ikatokea pia na washkaji wengine walikutafuna nyakati na maeneo tofauti sasa now wewe ndio uwe mke wangu, heshima inatoka wapi.
Hii aibu mimi nitaweka wapi sura yangu sababu ya tabia za udangaji za mwanamke naharibiwa heshima yangu.
Wazia pia kama wewe ni muadilifu ila rafiki yako ndio hajatulia, siku unamleta nyumbani kwetu kumbe ni binti ambaye nimeshamla sana huko nje na katoa mimba zangu kadhaa unakuja mtambulisha kwangu kama shemeji hivi unaona madhara yake sasa na kwann wanaume tunakemea sana wanawake tabia zenu.
Haya wewe unaongea tu hapa, umesoma juzi gazeti la mwananchi makala maalumu kuhusu report za madaktari pale muhimbili juu ya watoto wa kike wengi kupatwa na matatizo ya vizazi, kushindwa kushika ujauzito na hata vizazi kuoza.....je umewahi kujiuliza hayo madhara yanawahusu wanaume katika eneo gani?! Wewe ukidhurika wale uliokuwa ukiwadangia watasogea unadhani, huo si ni msala wako na familia yako, nani atakujali hapo nje ya familia yako, huyo unae mdangia si anakwenda tafuta binti mwingine mbichi anaanza nae upya?!
Je, ulisoma kuhusu report ya afya ya uzazi wanawake kuonyesha kuingiliwa nyuma kinyume na maumbile kiasi kwamba inaonekana ni janga jipya kwasasa?!
Sasa tukikemea wewe unasema sisi ndio tunaathirika, hivi unaongea hivi sababu unataka kushindana kubishana au umefanya tafiti?!
Hivi unajua kuna tatizo kubwa la ongezeko la maambukizi vimelea vya mgonjwa ya zinaa, (STI's) especially kwa wanawake miaka hii, kama UTI, PID infection , Herpes, Fungus, yeast, na mengine mengi, na chanzo kikibainika wazi ni kuwa na mahusiano na watu wengi kwa wakati m'moja?!
Hapo sijagusia maswala ya kutanuka kwa uke, hivi sasa kumeanza tatizo la baadhi wanawake kupatwa na hali ya njia ya uke kutoa mlio kama kujamba (queefing) jambo ambalo linaweza mwaibisha mhusika ikitokea mazingira ya watu wengi hii imehusishwa na maswala ya uzazi lakini ni pamoja na kujihusisha na mahusiano na wanaume wengi wenye maumbile tofauti. Ukitaka kulijua hili vema nenda youtube katazame video za confession za porn actresses waliostaafu kuigiza porn utaona wanaelezea changamoto wanazokutana nazo kutokana na kuingiliwa na wanaume kwa idadi kubwa.
Pia kuna swala la wanawake kuzaa na wanaume kisha kubakia kulea wenyewe wanaume wanaowachagua ambao ni vilaza huwaacha solemba na kuwaacha na mzigo wa malezi ya watoto pekee yao jambo linalowaathiri kisaikolojia na kiuchumi pia lakini mbaya zaidi watoto hawa hukosa malezi bora na kuingia ulimwengu wa maasi mapema katika umri mdogo.
Nadhani unachofeli ni kulinganisha uhalisia na hoja zako. Usiishie kusoma hoja za mtandaoni wanazoandika akina joyce kiria na wanawake wengine ambao ni wapotoshaji, bali wewe kwa utashi wako jaribu kufuatilia kinachotokea mitaani utaona ukweli.
Watoto wa kiume wanajitahidi sana kuwalinda lakini tamaa zenu watoto wa kike zinawatoa katika reli ya maisha mnapotoka mnaingia ulimwengu wa dunia hii ya mateso na fedheha. Siku zinavyokwenda mtakuja kuyaelewa haya ila sasa wacha tufanye kubishana tu ila mtaelewa tu.
Sasa wewe hebu nambie madhara gani anapatwa nayo mtoto wa kiume tukitoa magonjwanya zinaa na kupoteza pesa. Mwanaume akilala na mabinti hata 100 anabakia kuwa mwanaume na hakuna maksi zinashuka, ila wewe lala na wanaume hata 20 tu tofauti carelessly utanambia outcome yake.