Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Siku hizi mapenzi hakuna! Yani ni mwendo wa kuviziana tu!

Huyu anataka sex huyu anataka money! Huyu anampotezea mwenzie muda huyu anampotezea mwenzie pesa!
Mipango yako tu na malengo yako. Huwezi ukawa unatafuta mwanaume wa kukupa mahitaji ya starehe za mwili na akili yako halafu utegemee mwanaume huyu huyu awe na akili ya kuweka malengo na wewe.

It starts with you...... Ukiwa na fikra za kuharibu basi jua utaharibu, ukiwa na fikra za kujenga utajenga.

Wanawake wakituliza akili ni rahisi sana kufanya nao maisha. Shida wanawake wa siku hizi wenge ni jingi sana. Hawana mitazamo chanya ya maisha wana na wenge sana.

Ila wasichana wazuri wa kujenga nao familia wapo, ni swala la kutafuta tu. Sisi tunapambana kuwaatafuta.
 
Wanawake wengi Sasa hivi hawataki hata umfanyie romance kushikana shikana hawataki ili uke utoe majimaji ya kulainisha wenyewe wanataka uingize tu umalize haja zako umpe pesa namzungumzia mpenzi kabisa na sio Malaya wa kukodisha, wakati nakumbuka zamani kipindi Ni mwanafunzi nilikuwa nikipata mwanamke namchezea Kwanza na ananipa vitu bure siku hizi Mambo yamebadilika wengi hisia zimewaisha.wamekuwa rahisi kuwapata lakini vigumu kuwa enjoy.
Mapenzi hayana issue mzee
 
Mipango yako tu na malengo yako. Huwezi ukawa unatafuta mwanaume wa kukupa mahitaji ya starehe za mwili na akili yako halafu utegemee mwanaume huyu huyu awe na akili ya kuweka malengo na wewe.

It starts with you...... Ukiwa na fikra za kuharibu basi jua utaharibu, ukiwa na fikra za kujenga utajenga.

Wanawake wakituliza akili ni rahisi sana kufanya nao maisha. Shida wanawake wa siku hizi wenge ni jingi sana. Hawana mitazamo chanya ya maisha wana na wenge sana.

Ila wasichana wazuri wa kujenga nao familia wapo, ni swala la kutafuta tu. Sisi tunapambana kuwaatafuta.
Suala hapa siyo fikira wala msitafute wa kuwatupia lawama! Siku hizi kila jinsia inajifanya imevurugwa na mapenzi kila mtu anaingia kwenye mahusiano akiwa na maslahi yake!

Huyu anataka ngono huyu anataka fedha hakuna mwenye muda na mwenzie! Wanaume msitake kujifanya mko innocent sana kwenye mahusiano na kwamba ati wanawake tu ndiyo wako guilty kila siku!

Wanaume na wanawake wenye mapenzi ya dhati bado wapo! Lakini wengi sasa hivi hawana mapenzi siyo wanaume siyo wanawake!

Hivi wanaume kwanini huwa hampendi kukubali makosa yenu? Kwanini kila kitu lazima msingizie wanawake ndiyo chanzo kwamba ninyi hamnaga makosa kabisa au?
 
Back
Top Bottom