SCENARIO 1
Yaaani mtu umekutana na mdada wa watu, mapenzi humuonyeshi, au kuna kauli unatoa anaanza kuona hapa hamna ndoa. Kwanini asikuombe hela yani niwe loyal kwa kidudu washa asubutuuu si bora niombe pesa tu mwisho wa siku hata ukimuacha kuna kitu kapata.
SCENARIO 2
Mkaka umemuona mdada ukampenda ila yeye hata time na wewe hanaa anaona wa kuchuna tuu, mpe pesa akupe mapenzi maana ndoa hataki kutoka kwako.
SCENARIO 3
Mkaka sasa umempata mdada ila sio pisi kali kiviiile sema mchapa kazi, anajua kutafuta pesa, na hakuombi hela. Ila wewe mkaka sasa unaamua kutafuta pisi kali yako huko nje unahongaaa na magari unampa, biashara unamfungulia na mambo kede kede. Unadhani huyu dada wa watu ambaye sio pisi kali akitoka kwenye hayo mahusiano akianza mahusiano mapya ataweka nini mbele? Penzi au pesa?