Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

ndio sikatai mapenzi ni hisia Zaidi kuliko mali, lakin wadada wana msemo wao machozi ya kwenye BMW ni afadhali Zaidi kuliko kwenye VITZ. Msemo huu una maana kubwa Katika ulimwengu wa sasa hisia zinakuwa pembeni kwenye pesa
 
Pesa sio kila kitu katika hii dunia. We hujiulizi kwanini kuna baadhi ya wanawake wameolewa na wanaume wenye pesa lakini bado nje wanatafunwa na watu wa ajabu ajabu wasio na mbele wala nyuma?
 
Unaweza mpata unaemtaka lakini akakusumbua ile ile mpaka usione thamani ya pesa zako.
Muangalie Ally na Tunda. Ally hawa slay queens wa bongo akitaka kumla yeyote anakula tu lakini moyo wake upo kwa Tunda ila kijana Whozu hata hela ya maana hana kampindua Ally.
Hata kama una hela tafuta atakaekula hela zako kwa sababu unajua anakupenda ila ukiforce penzi ndugu yangu utateseka tu na pesa zako
Ukiongelea hao wasanii mfano wako hauwezi kuwa sahihi.
Wasanii huwa mapenzi yao sio real na sio serious bali huwa ni kwa ajili tu ya kuboost kiki.
 
kwenye mapenzi ni bora ukawa na vyote viwili pesa na mapenzi ya kweli kosa pesa mapenzi yatakufariji kosa mapenzi pesa itakufariji kosa vyote uone.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Sio dunia hii ya Sasa mkuu labda unaongelea ya mwaka 1964.
Dunia ya Sasa tunasema firisika/kosa pesa ujue tabia ya mkeo.
 
Utakuja mtu amekondeana Kama mfupa wa samaki, ila pesa ikiingia anakuwa kibonge sababu ya raha ya pesa!! Pesa ni kila kitu, maisha ni pesa. Ndio maana watu wamekufuru ketika kutafuta pesa. Raha zote hapa duniani unazipata ukiwa na pesa. Pesa pesa pesa pesa pesa pesa shikamoo.
Ukiwa na pesa una uwezo wa kufanyiwa chochote utakacho.
 
Pesa sio kila kitu katika hii dunia. We hujiulizi kwanini kuna baadhi ya wanawake wameolewa na wanaume wenye pesa lakini bado nje wanatafunwa na watu wa ajabu ajabu wasio na mbele wala nyuma?
Sababu wanaume ni maboya..
 
Pesa Inanunua Kila Kitu anayesema Pesa Hainunui Furaha Hana Pesa Huyo Na Ni Bwege Tena Ni Fala Mmoja Tu Pata Pesa Kula Papuchi Unayoitaka Full Stop Mambo Ya Kuleteana Mahaba Hapa Ni Ujinga
 
Back
Top Bottom