Abercrombie13
Member
- Jul 14, 2018
- 65
- 120
Pesa sabuni ya roho
Let love reign.
Kuna watu wanamiliki mabilioni ya pesa lakini kwasababu wamekosa mapenzi maisha yao hayana amani na wengine huishia kujitoa uhai au kuua watu wa karibu yao.
Najua masadukayo wengi hapa watachagua pesa.
Ukiwa na pesa wengi watakutamani lakini sio kukupenda.Ukiwa huna hela upo kwenye uwezekano mkubwa wa kukosa hicho cha kwanza.
Lakini ukiwa na pesa upo kwenye uwezekano mkubwa wa kupata vyote.
Nakuelewa sana mimi mwenyewe saa hizi na mpenzi wangu tumechuniana tu bila hata sababu ya msingi ila kila nikipiga hesabu tatizo "njaa".Ukiwa huna hela upo kwenye uwezekano mkubwa wa kukosa hicho cha kwanza.
Lakini ukiwa na pesa upo kwenye uwezekano mkubwa wa kupata vyote.
Ukiwa na pesa wengi watakutamani lakini sio kukupenda.
Ndio maana unakuta mke wa bilionea anadate na dereva bodaboda.
So ohe hahe ndio wanapendwa mkuu?
Tutafute hela tusitake kujifariji uongo hapa[emoji3][emoji38]. Kwenye njaa hakukaliki.
YooooooooNakuelewa sana mimi mwenyewe saa hizi na mpenzi wangu tumechuniana tu bila hata sababu ya msingi ila kila nikipiga hesabu tatizo "njaa".
Penye njaa hapanaga amani kuna mambo yanamvuruga vuruga halafu kamanda sina msaada wowote basi nami naonekana tatizo!