🤣🤣🤣🤣🤣🤣 anaeweza kukuelewa ni mama yako aliekuzaa tu. Starehe ya kulala Ramada kipindi cha likizo ibadilike na kuwa kulala Gwami Lodge manzese mahakama ya Ndizi???Upendo na pesa kama vipo na ukajua kuvipangilia vizuri itapendeza zaidi. Ni vitu vinavyotakiwa kwenda pamoja katika maisha ya wapendanao.
Pia ni vyepesi hata utakapoishiwa pesa, mwenzako anaweza kukuelewa.View attachment 1179940
PESA
FEDHA
HELA
CHAPAA
MKWANJA
DOLLARS
MAPENE
VINGINE MBWEMBWE
[emoji849]Mapenzi bila pesa ni ugonjwa.
Pesa ndio kila kitu
Sijawai waza pesa ndo iniweke kwa mwanaume mana kila mtu analia pesa uyu chapaa uyu money..mm nampenda mwanaume kwa moyo wote afu namuacha ajiongeze akishindwa plan B nnayo..mimi sio malaika.pesa pesa yani kila komenti pesa.
pia mapenzi bila kondom hayawezekani mana wenye afya ndio wenye umeme megawati milioni.
Nakubaliana na wewe asilimia 200% bila pesa upendo wako unageuka kero. Upendo unapoambatana na pesa basi unaonekana ni wa kweli.Mkuu kwa sasa huwezi kuniaminisha tena kama UPENDO unaweza kuimarisha penzi. Yaani nimeshaamua kujikita katika kutafuta pesa tu yani PESA ndo kila kitu mkuu. Nimeamini
Alafu mbona fursa zipo wazi kwani kuna mwanamke kakatazwa kutafuta pesa?? nyi endeleeni kuhonga..ifike mda mue ata mnaongopa miezi mitano mfululizo mwambie mambo hayako sawa mnyime ela mwambie umetuma kwa mama ako..mwambie unasomesha wadogo zako..mwambie account yako zimefanana majina na mtu mwingine so imefungwa kwa mda na mliefanana yuko mkoani..Kifupi mnyime ela kwa mda akikupotezea sio mke uyo mana siku utamtambulisha kwa boss wako yaan lazma atagongwaa tuu na Boss au marafiki zakoSijawai waza pesa ndo iniweke kwa mwanaume mana kila mtu analia pesa uyu chapaa uyu money..mm nampenda mwanaume kwa moyo wote afu namuacha ajiongeze akishindwa plan B nnayo..mimi sio malaika.
Alafu mbona fursa zipo wazi kwani kuna mwanamke kakatazwa kutafuta pesa?? nyi endeleeni kuhonga..ifike mda mue ata mnaongopa miezi mitano mfululizo mwambie mambo hayako sawa mnyime ela mwambie umetuma kwa mama ako..mwambie unasomesha wadogo zako..mwambie account yako zimefanana majina na mtu mwingine so imefungwa kwa mda na mliefanana yuko mkoani..Kifupi mnyime ela kwa mda akikupotezea sio mke uyo mana siku utamtambulisha kwa boss wako yaan lazma atagongwaa tuu na Boss au marafiki zako
wenye maisha ya juu kuliko ww si unajua wanaangaliaga nani ana ela zaidi.....haya kaz kwenu [emoji23][emoji23]
Hao wanawake wasiojua shida mnakutanaga nao wapi?🤣🤣🤣🤣🤣🤣 anaeweza kukuelewa ni mama yako aliekuzaa tu. Starehe ya kulala Ramada kipindi cha likizo ibadilike na kuwa kulala Gwami Lodge manzese mahakama ya Ndizi???
Kutoka kutembelea Land Cruiser VX V8 na Range Rover Sport hadi kukodi Bajaji na kushika bomba kwenye mwendokasi?
Watoto kutoka Marian Girls na Feza Boys kwenda Shule ya Sekondari Jangwani.
Hujawajua wanawake bro, omba kila siku usishuke katika kiwango ulichopo sasa. Omba sana mungu aendelee kukupandisha chati ilio juu zaidi ila usiporomoke sakafuni hata kidogo. Wanaoweza kulielezea hili vyema ni wale jamaa waliowahi kupoteza kazi zao ghafla.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Aniulize yalionikuta...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] anaeweza kukuelewa ni mama yako aliekuzaa tu. Starehe ya kulala Ramada kipindi cha likizo ibadilike na kuwa kulala Gwami Lodge manzese mahakama ya Ndizi???
Kutoka kutembelea Land Cruiser VX V8 na Range Rover Sport hadi kukodi Bajaji na kushika bomba kwenye mwendokasi?
Watoto kutoka Marian Girls na Feza Boys kwenda Shule ya Sekondari Jangwani.
Hujawajua wanawake bro, omba kila siku usishuke katika kiwango ulichopo sasa. Omba sana mungu aendelee kukupandisha chati ilio juu zaidi ila usiporomoke sakafuni hata kidogo. Wanaoweza kulielezea hili vyema ni wale jamaa waliowahi kupoteza kazi zao ghafla.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimeupenda huu ubongo. Excellent √Alafu mbona fursa zipo wazi kwani kuna mwanamke kakatazwa kutafuta pesa?? nyi endeleeni kuhonga..ifike mda mue ata mnaongopa miezi mitano mfululizo mwambie mambo hayako sawa mnyime ela mwambie umetuma kwa mama ako..mwambie unasomesha wadogo zako..mwambie account yako zimefanana majina na mtu mwingine so imefungwa kwa mda na mliefanana yuko mkoani..Kifupi mnyime ela kwa mda akikupotezea sio mke uyo mana siku utamtambulisha kwa boss wako yaan lazma atagongwaa tuu na Boss au marafiki zako
wenye maisha ya juu kuliko ww si unajua wanaangaliaga nani ana ela zaidi.....haya kaz kwenu [emoji23][emoji23]
Mamii naomba nkuDM
mkuu mfahamishe huyo jamaaAniulize yalionikuta...
Hahahah we shida unaijua?🤣🤣🤣Hao wanawake wasiojua shida mnakutanaga nao wapi?