Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

pesa siyo kitu kwenye mapenzi, Ila pesa hukupa urahisi wa kumpata mwanamke yeyote kufanya nae Ngono.
 
Aseee waseeee! Hivi Hawa Dada zetu wa miaka hii kwanini hawana mapenzi ya Kweli wanapenda sana pesa??!

Yani kwa miaka hii ukiwa na pesa ndefuu hakuna mwanamke utakaemkosa unamla utakaemtakaa, aseee mbona bibi zetu hawakua hivi? Wanakwama wapi???

Ukitongoza tu mwanamke utaskia oooh! "my Nina shida naomba ela mambo yangu yakikaa poa takulidishiaa"

Aseee kizinga kinakuja kwa style ya kukopa na kama huwezi kumkopesha ujue Ndio imekula kwa mkorea hiyoooo K hupati na unawekwa blacklist aseee!

Eebanae! Hawa watu wanakwama wapi aseee?
Pesa ndio kila kitu kwani ingekuwa wewe unatifuliwatifuliwa na hupewi hata kifuta jasho utajisikiaje??
 
1. Hampendeki
2.hamuaniki
3.hamna shukurani
4.hamuwezi mapigo yetu
5.kutuzalisha kazi hadi tuende kijijini mjini asilimia kubwa zeroooo.
6.mnashida sana mnapiga wadada
7.mko kama vichaa hamjiamini
So tunachukua hela mnaenda hamna pesa tunakaa kimya tunawapotezea presha yanini
hao wanaume wa hivyo ni hao wanaokukaza, wwngine hatupo hivyo
 
Katika zama hizi ambapo wadada wanapenda hela kuliko kitu chochote chini ya jua hakika Mwanamke asikusumbue kama una PESA....Yani hata kama una kibamia Nasema ASIKUSUMBUEEE...!!

Akikusumbua mpaka unaomba ushauri wewe ni Bwegee.

Mwisho.
 
Back
Top Bottom