Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Katika zama hizi ambapo wadada wanapenda hela kuliko kitu chochote chini ya jua hakika Mwanamke asikusumbue kama una PESA....Yani hata kama una kibamia Nasema ASIKUSUMBUEEE...!!

Akikusumbua mpaka unaomba ushauri wewe ni Bwegee.

Mwisho.
Mapenzi ya kweli Vs Mapenzi pesa.
 
mnajisumbua bure sasa uwe na hela yako halafu dushe haisimami kabisaaaaa uone kama hiyo hela itasaidia kuisimamisha bwege wewe
Nasema atakuwa analiaa na vilioo kuwa anaenjoy sanaa...utamuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119] achana na pesa
 
Wakuu habarini!

Katika utafiti wangu nilioufanya kwa muda mrefu nimeweza kugundua 99% kuwa pesa ndio kila kitu katika mapenzi.

Wanawake wengi siku hizi wametanguliza pesa mbele kuliko upendo wa dhati,pia pesa imeingia zaidi katika ndoa za watu( mke na Mme) ili uweze kuheshimika katika familia kuwa na pesa .

Mwanamke yeyote ukishakutana nae siku moja tayari ashaanza kuonyesha dalili za kuomba pesa hasa vibinti ambavyo havijazaa.

Ukiwa na pesa hata kama ukimuuliza mwanamke kuwa wewe una mtu wako? jibu utakalopewa sina mpenzi kwa sasa.

Kwakweli wanaume wenzangu kama hautoi pesa utaendelea kusota na hautopata mwanamke mzuri katika jamii hii labda tu itokee mwanamke kakupenda hasa mijimama.

Wakuu tutafuteni pesa ,nishaachwa na wanawake wengi kisa pesa.
 
Vijisenti vyangu havijanisaidia chochote,

now kesho inatimia wiki ya u single tangu jes anipige chini alhamis.
 
Pesa Sio Kila Kitu Kwenye Mapenzi Ila Pesa Ni Sehemu Ya Mapenzi.

Ili Uamini Hilo Fanya Tafiti Ndogo Kwa Matajiri Uone Jinsi Mapenzi Yanavyo Waburuza.

Mwanamke Anaweza Kumkimbia Mwanaume Kisa Masikini, Akampata Tajiri Nae Akamuacha kisa Ana Kibamia.

"Hao Ndio Wanawake"•
 
Nashukuru sasa wanaume tunatumbua umuhimu wa pesa katika mahusiano yetu

Pesa Sio Kila Kitu Kwenye Mapenzi Ila Pesa Ni Sehemu Ya Mapenzi.

Ili Uamini Hilo Fanya Tafiti Ndogo Kwa Matajiri Uone Jinsi Mapenzi Yanavyo Waburuza.

Mwanamke Anaweza Kumkimbia Mwanaume Kisa Masikini, Akampata Tajiri Nae Akamuacha kisa Ana Kibamia.

"Hao Ndio Wanawake"•

We kibamia kitavumilika ikiwa anapata pesa na atajitahidi wewe upate raha
Ushawai sikia ata malaya anasema unakibamia ahahahah
 
FB_IMG_15711607518006020.jpg
 
Back
Top Bottom