Sio kila kitu kama ushanunua kila utakacho na still zimejaa kwa bank. Ila kwa sie tunaozichanga ni balaa, personally tafsiri yangu juu ya hela ni opposite na mtazamo wako.
ulichokiongea kwa akili ndongo ato kuelewa) ila umeongea bonge la point mnoooooo.