Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Unaweza mpata unaemtaka lakini akakusumbua ile ile mpaka usione thamani ya pesa zako.
Muangalie Ally na Tunda. Ally hawa slay queens wa bongo akitaka kumla yeyote anakula tu lakini moyo wake upo kwa Tunda ila kijana Whozu hata hela ya maana hana kampindua Ally.
Hata kama una hela tafuta atakaekula hela zako kwa sababu unajua anakupenda ila ukiforce penzi ndugu yangu utateseka tu na pesa zako
 
kwenye mapenzi ni bora ukawa na vyote viwili pesa na mapenzi ya kweli kosa pesa mapenzi yatakufariji kosa mapenzi pesa itakufariji kosa vyote uone.
 
Katika zama hizi ambapo wadada wanapenda hela kuliko kitu chochote chini ya jua hakika Mwanamke asikusumbue kama una PESA....Yani hata kama una kibamia Nasema ASIKUSUMBUEEE...!!

Akikusumbua mpaka unaomba ushauri wewe ni Bwegee.

Mwisho.
pesa na mapenzi ni matatizo mawili tofauti ambayo wapuuzi pekee hujaribu kuyaoanisha.
 
Utakuja mtu amekondeana Kama mfupa wa samaki, ila pesa ikiingia anakuwa kibonge sababu ya raha ya pesa!! Pesa ni kila kitu, maisha ni pesa. Ndio maana watu wamekufuru ketika kutafuta pesa. Raha zote hapa duniani unazipata ukiwa na pesa. Pesa pesa pesa pesa pesa pesa shikamoo.
 
Sio kila kitu kama ushanunua kila utakacho na still zimejaa kwa bank. Ila kwa sie tunaozichanga ni balaa, personally tafsiri yangu juu ya hela ni opposite na mtazamo wako.
Mkuu mapenzi hisia kutoka moyoni. Utamshawishi mtu awe na wewe kwa sababu ya pesa zako lakin kihisia hayupo kabisa.
 
Katika zama hizi ambapo wadada wanapenda hela kuliko kitu chochote chini ya jua hakika Mwanamke asikusumbue kama una PESA....Yani hata kama una kibamia Nasema ASIKUSUMBUEEE...!!

Akikusumbua mpaka unaomba ushauri wewe ni Bwegee.

Mwisho.
Naunga hoja asilimia %1000
 
Back
Top Bottom