Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Pesa,chapaa ,mkwanja,mshiko..Omba Mungu upate hata ya kubadili mboga ,watoto wale ,huyo demu/sijui mke apate uhakika wa kwenda chooni,nina mfano wa jamaa yangu alimpenda mume wake kwa dhati na alikubali kuishi nae kwa maisha magumu
ila kumbuka haya maisha magumu ila ni standard life kibongo bongo,jamaa kashuka na upepo wa Magu,jamaa yake yupo kitaa,mwanamke anataka kula plus family..kipato cha wife wake cha kuunga ..aisee wife wake anapigwa na jamaa mwingine ili maisha yaende
Usiombee kukutwa na bwana pepsi
 
Kitu gani kinachoyafanya mapenzi yawe bora zaidi tukiachana Na pesa

Binafsi naamini upendo ndo ananogesha kila kitu

Karibu wadau!!!
Ni kipi kipaumbele kipaumbele chako.
*Mwanamke Na pesa samaki Na maji
Yaani unajiuliza swali halafu unajijibu mwenyewe. teh teh teeh!
By the way, unataka kunambia kabla pesa hazijaanza kutumika hakukuwa na upendo?
 
Nakubaliana na wewe asilimia 200% bila pesa upendo wako unageuka kero. Upendo unapoambatana na pesa basi unaonekana ni wa kweli.
Ndo hivyo mkuu zama zimebadilika. Maisha yanaenda kasi hii kitu nimejionea yani nime proof mimi mwenyewe kwahiyo mtu hawezi kuniambia chochote nikamkubalia bila pesa upendo ni kero tu kwa mwanamke wa leo. Yani unakuwa mzigo kwake. Now natafuta pesa tu
 
Ndo hivyo mkuu zama zimebadilika. Maisha yanaenda kasi hii kitu nimejionea yani nime proof mimi mwenyewe kwahiyo mtu hawezi kuniambia chochote nikamkubalia bila pesa upendo ni kero tu kwa mwanamke wa leo. Yani unakuwa mzigo kwake. Now natafuta pesa tu
Nalielewa kabisa hili unalolizungumza been there before.
 
Sawa...siku yakikukuta usije ukaja hapa kuomba ushauri. ..umalizane huko huko....
Katika zama hizi ambapo wadada wanapenda hela kuliko kitu chochote chini ya jua hakika Mwanamke asikusumbue kama una PESA....Yani hata kama una kibamia Nasema ASIKUSUMBUEEE...!!

Akikusumbua mpaka unaomba ushauri wewe ni Bwegee.

Mwisho.
 
Back
Top Bottom