Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Jamani acheni masihara......kupendwa na mtu mwenye mapesa yake raha sana 🙂

Na pesa inapokimbia basi na raha zote zinakwisha na mrembo kusepa kivyake vyake! Penzi la pesa si penzi! halidumu na Wanaume wengi wakigundua kwamba umempenda kwa pesa zake na si mapenzi ya kweli basi itafikia wakati atakutekeleza tu na kukuacha na majonzi makubwa
 
Aiseee...kumbe ehhhh!Kwahiyo hata wale waliochiwa vijisenti bila kuvifanyia kazi nao unaweza kusema ni successul?!Labda kwenye kupokea na kuandika cheque tu na sio kwenye kusaka hizo pesa.Binafsi i would rather be with a "hard working guy" who hasn‘t got his break yet than a snob from a rich family that doesn‘t even know how to brush his shoes because he is "SUCCESSFUL" by your definition.

At the end of the day, unasubiri apate break ili apate chapaa?
 
Lizzy thats not true at all na thats not the point here.., point ni kwamba wale wanaopata girls because of serious cash is that wrong...?, na is it different from those who get girls because of good looks? Different Strokes for Different Folks...
Mhhh owkey!!Kwanzia sasa ondoa shaka hata kama ni kwa pesa ulizokua unapeperusha angani akija dada na kusema nakupenda ukishawishika kubali umependwa!!
 
Na pesa inapokimbia basi na raha zote zinakwisha na mrembo kusepa kivyake vyake! Penzi la pesa si penzi! halidumu na Wanaume wengi wakigundua kwamba umempenda kwa pesa zake na si mapenzi ya kweli basi itafikia wakati atakutekeleza tu na kukuacha na majonzi makubwa

Atakuacha kwa majonzi wakati yeye ndo anakupenda wewe? hebu nisome vizuri ....😛
 
Sidhani kama mapenzi yanakuwa influenced na kitu kimoja tu. Kama sura ni sura tu au kama ni pesa ni pesa tu (at least tabia ni mkusanyiko wa vitu vingi). So inawezekana kupenda sura ya mtu lakini usimpende yeye. Ni sura tu. Na hata hao wenye pesa ni wengi, na sio kama mtu kwa vile alimpenda mmoja kwa pesa zake ndo anaweza kumpenda mwengine yoyote madamu ana pesa.

Pesa, sura na mazagazaga mengine ni channel tu yakuingilia kwenye penzi. Huko kwenye penzi kuna bonge la matrix with complex relation and interactions of multitude of things hata vile ambavyo huwezi kuvisema.
Now You are Talking...., Love is Complex na Pesa watu tusiiangalie kama ni jambo baya au watu kuona aibu ya kuwa attracted sababu ya hizo pesa... Its all Good....!!! Kama mtu anakupenda Thank God na sio kupata inferiority complex kwamba maybe its because of my cash.., even if it is who cares??, as long as you are happy.
 
Aiseee...kumbe ehhhh!Kwahiyo hata wale waliochiwa vijisenti bila kuvifanyia kazi nao unaweza kusema ni successul?!Labda kwenye kupokea na kuandika cheque tu na sio kwenye kusaka hizo pesa.Binafsi i would rather be with a "hard working guy" who hasn‘t got his break yet than a snob from a rich family that doesn‘t even know how to brush his shoes because he is "SUCCESSFUL" by your definition.

mhhhhh
unaongea as if umekutana nae aisee lol
nikisema succesfull i mean walio zitafuta wenyewe
got it?
 
At the end of the day, unasubiri apate break ili apate chapaa?
Nope...since haji na guarantee kwamba lazima itatokea siwezi sema ndicho ntakachosubiria!The point is i would settle for the one that works for his rent rather than the one who lives in an inherited mansion and has never earn a single sh. on his own!
 
Mimi ni mmoja wapo pesa si za kwako kwangu zinanihusu nini hata fundi bomba anayo pesa tuyayotumia ndani ya uwezo wetu.

manake mtu unatafuta pesa kwa udi na uvumba

ili iwepo tofauti kati yako na asiye nazo...

nitakuwa very dissapointed kama mimi ni milionaire
halafu mdada ananikataa anachagua fundi bomba...

pesa inakuwa haina maana lol
 
Nope...since haji na guarantee kwamba lazima itatokea siwezi sema ndicho ntakachosubiria!The point is i would settle for the one that works for his rent rather than the one who lives in an inherited mansion and has never earn a single sh. on his own!

Kwa hiyo ile theory ya Cinderella huitaki hata kuisikia! hehhe you wont even give him a chance?
 
Nadhani ikija kwenye true love
wanaongelea mtu akupende kamaa ulivyo ..
Na apende vitu ambavyo ni permanent kwako
Kitu kama personality..

Ila sisi binadamu kama binadamu tutafuata
Vitu ambavyo ni vizuri kwetu na vitupendezavyo
....
Naongelea tunapenda external things
Kuliko kumwangalia mtu internally ..

Na true love na dhani ni ku combination ya hivyo viwili....

Hapo kwenye red pesa inaweza kuwa permanent kwake vile vile na ikawa kigezo cha kumpenda.
Halafu hapo kwenye personality kuna msemo wa akina dada umezuka hivi karibuni.
Nilisikia mwaume lazima awe na personality bwana.
Nikauliza nikaambiwa mwanaume mwenye personality maana yake in the modern days ni mwanaume mwenye pesa.
 
mhhhhhunaongea as if umekutana nae aisee lolnikisema succesfull i mean walio zitafuta wenyewegot it?
We umesema mtu kua na pesa inaonyesha ni successful....sasa kwani za kurithi sio PESA??‘
 
Nope...since haji na guarantee kwamba lazima itatokea siwezi sema ndicho ntakachosubiria!The point is i would settle for the one that works for his rent rather than the one who lives in an inherited mansion and has never earn a single sh. on his own!

mmmh! you are one among the few..............
congratulation.........................
 
Babu nasema kwa msisitizo hivi:

Hakuna mapenzi matamu kama ya PESA!......... PESA ni sabuni ya ROHO.... Bila Pesa Mapenzi na kadhia.... ni matatizo!

PESA PESA PESA.............Eeeh Mungu nijalie PESA nyingi ili huyu BIBI ya hawa wajukuu ajue jinsi navyompenda!
 
Atakuacha kwa majonzi wakati yeye ndo anakupenda wewe? hebu nisome vizuri ....😛

Wapenda pesa wako wengi na bomba ile mbaya hivyo ukichujuka tu itakula kwako na jamaa yuko na binti mpya anakula maraha yaliyohamishwa toka kwako ma kuelekezwa kwa binti mwingine.
 
Kwa hiyo ile theory ya Cinderella huitaki hata kuisikia! hehhe you wont even give him a chance?
Ikitokea haitakua kwasababu ni “successful“ kama alivyoiweka boss ila kwasababu i like/love him as a person.Ngoja nikupe mfano mzuri....nnakaa kwangu na kila kitu najipa kuendana na kile nlichonacho na sio zaidi!Nikikutana na ambae nae zake zinamtosha kulipa kodi na chakula tu maisha yangu hayatabadilika kwasababu simtegemei aje kuongeza chochote .Vile vile huyu mwenye pesa hawezi nishawishi kuhama kwenye apartment yangu ya 200 000 kwa mwezi ili anipangie ya 600 000...kwahiyo pesa zake hazitobadili chochote kwangu kwahiyo sijali vijisenti vya mtu najali vyangu maana ndivyo vinavyoweza kuleta tofauti kwenye maisha yangu!
 
We umesema mtu kua na pesa inaonyesha ni successful....sasa kwani za kurithi sio PESA??'

halafu wewe mgumu wa kuelewa
sikusema hivyo...
nime ask tafsiri ya mtu successful ni ipi???????
hebu rudi usome upyaa
 
Yah, upo sahihi..kila mtu ana definition yake ya love. Mwingine kutoa pesa na kumpa mwanamke anaona amefanya love..Mwingine kumtembelea tu nyumbani kwake, hapo anatafsiri kwamba ni love..

Ni kwamba sio rahisi kupata maana sahihi au kumlazimisha mtu ni nini maana ya love..

Swali linalobakia ni je, upendo au mapenzi hayo ni ya kweli ???
Thats a very hard question.., kuna mfano wa mama mmoja aliachwa na mme wake akatelekezwa na watoto na akafukuzwa kwenye nyumba Huyo mwanaume after some time akapooza na yule dada aliyekuwa nae akamkimbia..., Sasa as am talking ni huyo mama aliyefukuzwa ndio anaemtunza huyo mwanaume aliyemfukuza...., Sasa is that True Love au ni Huruma ambazo madada wengi wamejaliwa kuwa nazo??

What I think is when a woman decides to invest her love and emotions kwa mtu anatumia nguvu zote na hata iweje ile responsibility itamfanya asikuache yaani (women have got a motherly love ambazo wanaume wengi hatuna....) na kama Gaijin alivyosema Love is so Complex and sometimes Love alone is not enough sometimes unahitaji uvumilivu, huruma na busara kuendelea kukaa na mtu
 
Back
Top Bottom