Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

wisdom presides everything.. wengi wanafikiri akishakuwa na ushawishi wa pesa basi ndo anajua kila kitu. Atoe pesa yake,lakini kwa hekima.Hekima ni kufanya maamuzi sahihi kwa wakati na mahali sahihi..
Pesa ni nyongeza tu na sio KISABABISHI cha kila kitu!
 
Acha uchakachuzi wa thread za watu...binafsi nimestaafu!

nilitaka nikupe link yako mwenyewe uone
sometimes unasahau ulichoandika....
leo upo kushoto,kesho kulia...
unaikumbuka thread ya laki tano kwa wiki??????lol
what was that?
 
Hivi hujawahi kuona watu wanataka kuwa na watu wengine kwa sababu tu hao watu ni wazuri wa sura na umbo? yaani itakuwa ujiko kwake.

Au watu wanataka kuwa na macelebu kwa kuwa tu ni maarufu?

Wote ni sawa tu, ila nitapingana na wewe kidogo hapo kwenye red. Sidhani kama ni lazima iwe hivyo. Wanaweza kuwapenda watu kwa sababu ya pesa, na pesa ikaisha lakini akawa keshampenda kidhati kwa hiyo wakaendelea kuishi pamoja.

True very True..., Kwahiyo kipimo cha mapenzi ya kweli ni hata hicho kitu kikiisha you are still together no matter what...??, Kwahiyo hicho kitu ni nini ?? na kama ndio kilichokufanya wewe ukae na huyo mtu na kama kimekwisha kwanini uendelee kukaa na huyu mtu...? 🙂

au kuna kitu kingine ambacho kinakufanya ukae nae and if you look deeply its just a material thing..., au ni zile memories mlizojenga baada ya kukaa muda mrefu, au ni company au ni committments
 
manake mtu unatafuta pesa kwa udi na uvumba

ili iwepo tofauti kati yako na asiye nazo...

nitakuwa very dissapointed kama mimi ni milionaire
halafu mdada ananikataa anachagua fundi bomba...

pesa inakuwa haina maana lol

True kabisa alafu kama kila kitu kipo sawa yaani all the attributes, huenda Pesa ikawa a Tie Breaker..... Alafu wale wenye sura mbaya na tabia chafu pesa inafanya angalau kuwe na level playing field
 
Hapana Lizzy am thinking out of the BOX..., What's not Right to me.., Why Should it be Not Right for Others..., Nataka kutoa ile Hypocrisy ya watu kusema relations za watu sio za kweli au ni sababu ya fedha..., That Judgment ya watu kwamba they are right...., If two couples are happy who cares kama pesa ndio imewaunganisha???,Maybe my 85 years old would be loney na asingekuwa na yule Bibie mzuri kama isingekuwa pesa.., lakini who cares kama they are all happy.... Mmmmhh Lizzy tell me..... I can guarantee you my 85 year old friend will die a Happy Man all because ya huyu Bibie.....
Kweli ila sio wote wanaobahatika kuendelea kua na hizo pesa....post yangu ya kwanza nilielezea aliekimbia familia ukaipotezea...changanya na hii uone kwanini inajalisha na vipi ni muhimu mtu akupende wa sababu nyingine zaidi ya pesa zako!!
 
Ujanja ni kutafuta vyote. Hekima na Pesa: Unaweza kuwa na hekima, lakini kama hauna pesa, ushawishi wako unapungua. Ndio maana Mungu alimpa Suleiman (Solomon) hekima na utajiri (pesa), ili awe na ushawishi kwenye jamii.
"Dont Gain The World and Loose Your Soul...., Wisdom is Better than Silver and Gold.."

Lakini am sure ukiwa na Hekima hata pesa utapata and it does not hurt to have both
 
VoR,

Mada tata sana hii.

Pesa ni nouma.....ombaomba tunawapa pesa kuonesha 'upendo' wetu kwao, makanisani tunatoa pesa kuonesha 'upendo' kwa Mungu!?(au ni shukrani tu?). Sasa hivi hakuna mahari ya ngombe tena...ni pesa tu! huna pesa....unaweza kosa mke! Hivi upendo ni nini hasa? Kila mtu pengine ana definition yake!

Lakini katika factors nyingi ambazo zinamfanya mwanamke ampende mwanaume fulani.. mali (pesa?) iliyopo au potentially inaweza kuwepo... ni moja kati ya vigezo muhimu. Wanawake, pamoja na mambo mengine, wanapenda mwanaume ambaye atawapa uhakika wa maisha (security - financial etc).
 
VoR,

Mada tata sana hii.

Pesa ni nouma.....ombaomba tunawapa pesa kuonesha 'upendo' wetu kwao, makanisani tunatoa pesa kuonesha 'upendo' kwa Mungu!?(au ni shukrani tu?). Sasa hivi hakuna mahari ya ngombe tena...ni pesa tu! huna pesa....unaweza kosa mke!

Hivi upendo ni nini hasa?

na mapenzi ni nini?
 
So not true!Ila mawazo kama haya ndo yanafanya mtumiwe kama ATM alafu mwisho wa siku mnalalamika wanawake wa siku hizi hawaishi kupiga mizinga.Hamtaki kugeuzwa biashara yet you have it embedded in your head that you can‘t get a girl to love you if you don‘t have some serius cash!
Lizzy thats not true at all na thats not the point here.., point ni kwamba wale wanaopata girls because of serious cash is that wrong...?, na is it different from those who get girls because of good looks?

Different Strokes for Different Folks...
 
Mapenzi ya pesa yana ubaya pale unapomuacha aliyekuwa na pesa kisa kfilisika/kaishiwa!..No money, no love!!
 
Asikwambie mtu VOR, zaidi ya nusu na robo ya wanawake watakupenda zaidi kama una pesa za kuspend kwake. :]]

As long as they are happy hakuna mtu anaetakiwa awahukumu, kama kapenda kwa pesa au kwa sura au kwa tabia, muhimu awe kapenda tu :]



..........yeah, speaking from experince....
 
kuwa na pesa ni ishara ya kuwa succesfullsasa wadada wakisema nataka mtu suucessfull....itafsiriwe vipi????????????
Aiseee...kumbe ehhhh!Kwahiyo hata wale waliochiwa vijisenti bila kuvifanyia kazi nao unaweza kusema ni successul?!Labda kwenye kupokea na kuandika cheque tu na sio kwenye kusaka hizo pesa.Binafsi i would rather be with a “hard working guy“ who hasn‘t got his break yet than a snob from a rich family that doesn‘t even know how to brush his shoes because he is “SUCCESSFUL“ by your definition.
 
Back
Top Bottom