My dear Saa nyingine ni uwivu tu ..True very True....., Lakini tukiongelea vitu ambavyo ni permanent kwako, nadhani loyal familiy mtu kama Prince William na Harry Wamezaliwa kwenye pesa na watakufa kwenye pesa.., I can argue that is permanent to them.... Lakini point yangu ni kwamba yule anayempenda mtu kwa sababu ana sura nzuri au ni mcheshi asimcheke yule anayempenda mtu sababu ana wallet kubwa..., sababu zote ni features za attraction ambazo zinawavutia watu tofauti....Therefore community iache kuwaangalia watu hawa kama vile ni majambazi... au wezi au wanyonyaji..BTW I owe you a Thanks and a Like hazionekani kwako....
Nilitaka kusema kitu lakini nakushukuru kunisemea anti Lizzy!Yeahh kweli ni haki kabisa ndo maana namjua mdada aliyekimbia nchi mpaka mtoto kaacha kwasababu mume kaishiwa!Kupenda pesa za mtu sio sawa na kumpenda mtu.Hivyo hivyo kupenda sura/umbo la mtu sio sawa na kumpenda mtu ndio maana wapo watu wanaodiriki kuwaacha wenzi wao kwakua wameishiwa....miili imemomonyoka na sura haipo tena!
Hahaha PJ mbona mshtuko mkubwa. Nimesema KUPENDWA NA....sio KUMPENDA Mtu kwa pesa zake. (au niseme kupendana na mtu mwenye pesa)
As a girl nakubali its nicekupendwa na mtu mwenye pesa, walau mnapata nguvu za kulichochea pendo lenu vizuri hasa kwa kuwa shida wakati mwengine zinaweza kuwa chanzo cha mifarakano kwenye mapenzi.
So not true!Ila mawazo kama haya ndo yanafanya mtumiwe kama ATM alafu mwisho wa siku mnalalamika wanawake wa siku hizi hawaishi kupiga mizinga.Hamtaki kugeuzwa biashara yet you have it embedded in your head that you cant get a girl to love you if you dont have some serius cash!kimsingi pesa inatengeneza atractionna atraction inaweza kuleta love baadae...mtu anaweza kuja kwa ajili ya pesa na akajikuta ame fall for real....wanasema no finance,no romance.........
Sasa Mkuu you are comig to my way of thinking...., Kama watu wana-definition tofauti za Love..., Sisi ni kina nani ya kuwaambia kwamba hiyo sio Love ya Kweli.., Mwingine akiona pesa na zile goodtimes anazopata akiwa na jamaa yeye ndio kafika Heaven.... huenda isiwe sawa kwangu mimi na wewe lakini Who are we to say otherwise...lakini hebu turudi tujiulize tena, labda upendo ni nini na mapenzi ni nini,
yawezekana jamii inatoa definition tofauti na jinsi wengine wanavyochukulia,
Anyway, utasikia wengine wanasema, simpendi yule bwana, nimependa pesa zake tu kwani ananitimizia kila kitu,
sasa nadhani ni vema tukawa na one stand hapa, mapenzi ni nini, na upendo ni nini?
So not true!Ila mawazo kama haya ndo yanafanya mtumiwe kama ATM alafu mwisho wa siku mnalalamika wanawake wa siku hizi hawaishi kupiga mizinga.Hamtaki kugeuzwa biashara yet you have it embedded in your head that you can‘t get a girl to love you if you don‘t have some serius cash!
So not true!Ila mawazo kama haya ndo yanafanya mtumiwe kama ATM alafu mwisho wa siku mnalalamika wanawake wa siku hizi hawaishi kupiga mizinga.Hamtaki kugeuzwa biashara yet you have it embedded in your head that you can‘t get a girl to love you if you don‘t have some serius cash!
Yeah almost convinced na ninakubaliana na wewe uzuri wa mtu na pesa za mtu they are all materials things na zote tuziweke kwenye kapu moja...
Lakini hebu nieleze unavyoweza kupenda tabia, uzuri na personality ya mtu bila kumpenda mtu mwenyewe ??? Pia kupenda kwangu sura ya yule mwanamke ila kuchukia tabia yake its means priority yangu ni tabia..., Je huyu ninayempenda sana sababu ya tabia zake is it more true au nikiona mwenye tabia nzuri kuliko huyu nitawacha au akibalika tabia yake bado nitampenda?
MmhhhhTukirudi huko Penye penzi na pesa ni patamu..Lakini lakini kama hakuna penzi At list kuwe na pesa.. lakini hili Huyeyuka endapo pesa zimeondoka.. Na ile yakupenda pasipokuwa na kitu ni wachashe sana wamebakia. ...AD, kumbuka mada ya VOR, inazungumzia penzi la pesa..........
So not true!Ila mawazo kama haya ndo yanafanya mtumiwe kama ATM alafu mwisho wa siku mnalalamika wanawake wa siku hizi hawaishi kupiga mizinga.Hamtaki kugeuzwa biashara yet you have it embedded in your head that you can‘t get a girl to love you if you don‘t have some serius cash!
Hapana Lizzy am thinking out of the BOX..., What's not Right to me.., Why Should it be Not Right for Others..., Nataka kutoa ile Hypocrisy ya watu kusema relations za watu sio za kweli au ni sababu ya fedha..., That Judgment ya watu kwamba they are right...., If two couples are happy who cares kama pesa ndio imewaunganisha???,Ahhhh mi hata sijui bana...ngoja nikalale!!Miss AFRO wa D naomba unijibie maswali yangu maana leo naona umeazima akili sijui ya nani!!
Sasa Mkuu you are comig to my way of thinking...., Kama watu wana-definition tofauti za Love..., Sisi ni kina nani ya kuwaambia kwamba hiyo sio Love ya Kweli..
Acha uchakachuzi wa thread za watu...binafsi nimestaafu!niliandika nikuchokoze tu hapoupooo?missing u...lol
Hapana Lizzy am thinking out of the BOX..., What's not Right to me.., Why Should it be Not Right for Others..., Nataka kutoa ile Hypocrisy ya watu kusema relations za watu sio za kweli au ni sababu ya fedha..., That Judgment ya watu kwamba they are right...., If two couples are happy who cares kama pesa ndio imewaunganisha???,
Maybe my 85 years old would be loney na asingekuwa na yule Bibie mzuri kama isingekuwa pesa.., lakini who cares kama they are all happy.... Mmmmhh Lizzy tell me..... I can guarantee you my 85 year old friend will die a Happy Man all because ya huyu Bibie.....
Achana na definition za dictionary....whats YOUR definition of love!?Sasa Mkuu you are comig to my way of thinking...., Kama watu wana-definition tofauti za Love..., Sisi ni kina nani ya kuwaambia kwamba hiyo sio Love ya Kweli.., Mwingine akiona pesa na zile goodtimes anazopata akiwa na jamaa yeye ndio kafika Heaven.... huenda isiwe sawa kwangu mimi na wewe lakini Who are we to say otherwise...Love is an emotion of strong affection and personal attachment. (according to the dictionary) Kwahiyo labda mtu anapenda jinsi jamaa anavyoweza kutafuta pesa na jinsi kila kitu anachokishika kinaturn into gold..... Je hiyo sio emotion of strong affection ya huyu dada/kaka kwa talent ya huyu bwana ya kutengeneza pesa??
Teh teh teh We mtoto umeanzaa ae..Ngoja nichoke vizuri ntakutafutALala sama binti mchokozi lolzAhhhh mi hata sijui bana...ngoja nikalale!!Miss AFRO wa D naomba unijibie maswali yangu maana leo naona umeazima akili sijui ya nani!!