Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Asante kwa mada yako inayochokoza fikra na akili hasa.

Unachotaka ku-potray ni kwamba kama hauna 'material things' kama pesa, unaweza 'usipendwe', yaani ni kama vile mtu mwenye 'tabia mbaya' ambavyo anaweza kujikuta 'hapendwi'...
Kwa lugha nyingine kama mtu anavyoweza kumvutia msichana kwa u-handsome wake, basi pia wengine huvutia wasichana kwa pesa zao..

Kwa upande mmoja nakubaliana na mawazo yako.

Kwa upande mwingine inabidi nipate tofauti ya mapenzi na upendo

Nafikiri unaweza kupata mapenzi kwa pesa, lakini sio lazima yaambatane na upendo.

Ila ninaamini siku zote Upendo wa kweli utadumu hata kama pesa zitaisha au uzuri kuchakaa. Kwa hiyo nakubaliana na wewe kwa kiasi, kwa maana ya kwamba pesa inaweza kuwa 'kivutio' kama vile uzuri au tabia njema zinavyoweza kuwavuta wengine, lakini vyote hivyo haviwezi kukuhakikishia (guarantee) upendo wa kweli.
 
True very True....., Lakini tukiongelea vitu ambavyo ni permanent kwako, nadhani loyal familiy mtu kama Prince William na Harry Wamezaliwa kwenye pesa na watakufa kwenye pesa.., I can argue that is permanent to them.... Lakini point yangu ni kwamba yule anayempenda mtu kwa sababu ana sura nzuri au ni mcheshi asimcheke yule anayempenda mtu sababu ana wallet kubwa..., sababu zote ni features za attraction ambazo zinawavutia watu tofauti....

Therefore community iache kuwaangalia watu hawa kama vile ni majambazi... au wezi au wanyonyaji..

Usichanganye kumpenda mtu kwa sababu ya pesa na kupenda pesa zake tu bila ya kupenda yeye mwenyewe.
 
Kama watu wanapenda sababu ya Uzuri wa mtu, au Personality ya mtu, Kwanini mwingine asipende sababu ya pesa za mtu

Utasikia watu wanasema "thats not true love anampendea pesa zake".., au "Siku hizi hakuna mapenzi ni pesa tu"...., yeah, kama anampendea pesa zake whats wrong with that, je kuna utofauti wa wewe unayempendea sura yake...?

My Take on This ni kwamba kila mtu anazo priority zake na kama wapo wanaopenda zaidi pesa its okay na community isiwaangalie kama "Gold Diggers" kama wanampa mtu mwenye pesa furaha.., I think its a fair trade....

Money, Looks, Personality, Ucheshi, Powerfullness, they are all features and if they attract someone who are we to say that is true love or not....?

VoR, maapenzi yanajengwa na hisia zaidi,
yanajengwa toka moyoni na wala si katika mtazamo wa nje,
possessions kama pesa, gari, majumba na mambo mengine mengi ni catalyst/stimulus/chumvi/chachandu tu,
katika kunogesha hilo penzi.............

mapenzi yangekuwa yanatizamwa zaidi kwenye pesa, basi hao wenye pesa wasingekuwa wanatendwa,
tunaona kila kukicha hao wenye pesa, ndoa zinavunjika, urafiki unakufa n.k.
 
Jamani acheni masihara......kupendwa na mtu mwenye mapesa yake raha sana 🙂

yes, ni raha sana kama kutakuwa na hiyo perfect match!!!,
yaani pamoja na kuwa kuna pesa lakini kuna upendo ndani yenu!!!!!!
sio kwamba kwenye pesa hakuna penzi la kweli la hasha....................
 
Asante kwa mada yako inayochokoza fikra na akili hasa.

Unachotaka ku-potray ni kwamba kama hauna 'material things' kama pesa, unaweza 'usipendwe', yaani ni kama vile mtu mwenye 'tabia mbaya' ambavyo anaweza kujikuta 'hapendwi'...
Kwa lugha nyingine kama mtu anavyoweza kumvutia msichana kwa u-handsome wake, basi pia wengine huvutia wasichana kwa pesa zao..

Kwa upande mmoja nakubaliana na mawazo yako.

Kwa upande mwingine inabidi nipate tofauti ya mapenzi na upendo

Nafikiri unaweza kupata mapenzi kwa pesa, lakini sio lazima yaambatane na upendo.

Ila ninaamini siku zote Upendo wa kweli utadumu hata kama pesa zitaisha au uzuri kuchakaa. Kwa hiyo nakubaliana na wewe kwa kiasi, kwa maana ya kwamba pesa inaweza kuwa 'kivutio' kama vile uzuri au tabia njema zinavyoweza kuwavuta wengine, lakini vyote hivyo haviwezi kukuhakikishia (guarantee) upendo wa kweli.

......big up kaka!!!!!
 
My Gooosh!.....sikutegemea hili, at least from you!

Hahaha PJ mbona mshtuko mkubwa. Nimesema KUPENDWA NA....sio KUMPENDA Mtu kwa pesa zake. (au niseme kupendana na mtu mwenye pesa)

As a girl nakubali its nice kupendwa na mtu mwenye pesa, walau mnapata nguvu za kulichochea pendo lenu vizuri hasa kwa kuwa shida wakati mwengine zinaweza kuwa chanzo cha mifarakano kwenye mapenzi.
 
Yeahh kweli ni haki kabisa ndo maana namjua mdada aliyekimbia nchi mpaka mtoto kaacha kwasababu mume kaishiwa!Kupenda pesa za mtu sio sawa na kumpenda mtu.Hivyo hivyo kupenda sura/umbo la mtu sio sawa na kumpenda mtu ndio maana wapo watu wanaodiriki kuwaacha wenzi wao kwakua wameishiwa....miili imemomonyoka na sura haipo tena!
 
Usichanganye kumpenda mtu kwa sababu ya pesa na kupenda pesa zake tu bila ya kupenda yeye mwenyewe.
Kupenda pesa zake pekee bila kumpenda yeye kuna ubaya zaidi ya kupenda sura yake nzuri....? I can argue kwamba bila hiyo sura mapenzi yatakwisha kama bila hizo pesa yatakavyokwisha...
 
...hivi AD, kumbe true love ni mpaka uwe unampenda mtu internally lakini na pesa ziwepo pia?vipi, kimoja wapo kisipokuwepo, basi na true love hakuna lol...?
Mmhhh bacha Not necessary pesa External inaweza kuwa kitu chochote...Hivyo divyo binafsi ninavyo ona true love..Muungano wa hivyo viwili. Lakini kila mtu ana njia yake ya Kuuelezea hivyo ..
 
Kupenda pesa zake pekee bila kumpenda yeye kuna ubaya zaidi ya kupenda sura yake nzuri....? I can argue kwamba bila hiyo sura mapenzi yatakwisha kama bila hizo pesa yatakavyokwisha...

Kupenda pesa zake tu ina maana hujampenda yeye. Na ndo unakuta mtu anaishi na mtu mwengine lakini anapenda mtu wa nje. Kwa sababu kapenda pesa tu na sio mtu mwenye pesa zile.

Ni sawa na mtu anaependa sura tu lakini labda anapenda mtu mwengine nje kwa sababu mtu huyo wa nje ana tabia nzuri.

Kumpenda mtu kwa sababu ya sura, pesa, tabia, upole vyote ni sawa tu. Ni njia tu za kukupeleka kwenye mapenzi ya kweli. Ila kupenda sura, pesa, au upole bila ya kumpenda mwenye vitu hivyo hakumaanishi kuwa kuna mapenzi hapo.

Ndio ukasikia watu wakisema 'napenda sura ya mwanamke yule lakini sitaki hata kumkaribia kwa nnavyomchukia'
 
Yeahh kweli ni haki kabisa ndo maana namjua mdada aliyekimbia nchi mpaka mtoto kaacha kwasababu mume kaishiwa!Kupenda pesa za mtu sio sawa na kumpenda mtu.Hivyo hivyo kupenda sura/umbo la mtu sio sawa na kumpenda mtu ndio maana wapo watu wanaodiriki kuwaacha wenzi wao kwakua wameishiwa....miili imemomonyoka na sura haipo tena!
Kwahiyo we can say that wanaopenda pesa, uzuri, personality they are all "Material Diggers" in one way or another...., na hakuna mwenye justification ya kumsema mwenzake..., Also wale wanaobaki kwenye relationship when things go wrong I can argue ni sababu ya uvumilivu na commitments and not because of LOVE or they are enjoying the RIDE its just its the right thing to do..
 
True very True....., Lakini tukiongelea vitu ambavyo ni permanent kwako, nadhani loyal familiy mtu kama Prince William na Harry Wamezaliwa kwenye pesa na watakufa kwenye pesa.., I can argue that is permanent to them.... Lakini point yangu ni kwamba yule anayempenda mtu kwa sababu ana sura nzuri au ni mcheshi asimcheke yule anayempenda mtu sababu ana wallet kubwa..., sababu zote ni features za attraction ambazo zinawavutia watu tofauti....

Therefore community iache kuwaangalia watu hawa kama vile ni majambazi... au wezi au wanyonyaji..

BTW I owe you a Thanks and a Like hazionekani kwako....

unajua VOR, you might be right with your observations,
lakini hebu turudi tujiulize tena, labda upendo ni nini na mapenzi ni nini,
yawezekana jamii inatoa definition tofauti na jinsi wengine wanavyochukulia,

Ukijaribu kuangalia kwa ukaribu zaidi unakuta tunalitizama zaidi neno upendo/mapenzi,
kwa kuangalia undani wa mtu, kwamba a true love comes from your heart ................
na sio possessions...........
Anyway, utasikia wengine wanasema, simpendi yule bwana, nimependa pesa zake tu kwani ananitimizia kila kitu,
sasa nadhani ni vema tukawa na one stand hapa, mapenzi ni nini, na upendo ni nini?
 
Mmhhh bacha Not necessary pesa External inaweza kuwa kitu chochote...Hivyo divyo binafsi ninavyo ona true love..Muungano wa hivyo viwili. Lakini kila mtu ana njia yake ya Kuuelezea hivyo ..

AD, kumbuka mada ya VOR, inazungumzia penzi la pesa..........
 
Kwahiyo we can say that wanaopenda pesa, uzuri, personality they are all "Material Diggers" in one way or another...., na hakuna mwenye justification ya kumsema mwenzake..., Also wale wanaobaki kwenye relationship when things go wrong I can argue ni sababu ya uvumilivu na commitments and not because of LOVE or they are enjoying the RIDE its just its the right thing to do..

Hivi hujawahi kuona watu wanataka kuwa na watu wengine kwa sababu tu hao watu ni wazuri wa sura na umbo? yaani itakuwa ujiko kwake.

Au watu wanataka kuwa na macelebu kwa kuwa tu ni maarufu?

Wote ni sawa tu, ila nitapingana na wewe kidogo hapo kwenye red. Sidhani kama ni lazima iwe hivyo. Wanaweza kuwapenda watu kwa sababu ya pesa, na pesa ikaisha lakini akawa keshampenda kidhati kwa hiyo wakaendelea kuishi pamoja.
 
Kwahiyo we can say that wanaopenda pesa, uzuri, personality they are all "Material Diggers" in one way or another...., na hakuna mwenye justification ya kumsema mwenzake..., Also wale wanaobaki kwenye relationship when things go wrong I can argue ni sababu ya uvumilivu na commitments and not because of LOVE or they are enjoying the RIDE its just its the right thing to do..
Ahhhh mi hata sijui bana...ngoja nikalale!!Miss AFRO wa D naomba unijibie maswali yangu maana leo naona umeazima akili sijui ya nani!!
 
Kupenda pesa zake tu ina maana hujampenda yeye. Na ndo unakuta mtu anaishi na mtu mwengine lakini anapenda mtu wa nje. Kwa sababu kapenda pesa tu na sio mtu mwenye pesa zile.

Ni sawa na mtu anaependa sura tu lakini labda anapenda mtu mwengine nje kwa sababu mtu huyo wa nje ana tabia nzuri.

Kumpenda mtu kwa sababu ya sura, pesa, tabia, upole vyote ni sawa tu. Ni njia tu za kukupeleka kwenye mapenzi ya kweli. Ila kupenda sura, pesa, au upole bila ya kumpenda mwenye vitu hivyo hakumaanishi kuwa kuna mapenzi hapo.

Ndio ukasikia watu wakisema 'napenda sura ya mwanamke yule lakini sitaki hata kumkaribia kwa nnavyomchukia'
Yeah almost convinced na ninakubaliana na wewe uzuri wa mtu na pesa za mtu they are all materials things na zote tuziweke kwenye kapu moja...

Lakini hebu nieleze unavyoweza kupenda tabia, uzuri na personality ya mtu bila kumpenda mtu mwenyewe ??? Pia kupenda kwangu sura ya yule mwanamke ila kuchukia tabia yake its means priority yangu ni tabia..., Je huyu ninayempenda sana sababu ya tabia zake is it more true au nikiona mwenye tabia nzuri kuliko huyu nitawacha au akibalika tabia yake bado nitampenda?
 
Back
Top Bottom