Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Pesa hizi,mi MTU asinipe pesa anipe zawadi jamani..inatosha ila sasa mmh kauzu mwingine wanataka mpka kuombwa sipendi Tabia hii
 
Pole sana...

Ingawa maisha siyo kutesa kila siku ila pesa ndiyo kila kitu...

Hata wao pia wakitupima kwa kutuambia hakuna s.e.x mpaka utakapomvisha pete na kumuoa tunasepaga kimya kimya...

Kwa hiyo hakuna cha ajabu, kawaida sana...


Cc: mahondaw
 
mabinti hawaitaj saana pesa ila wanahitaji ujue namna ya kucheza na akili zao na hapo ndipo utawafurahia vzur bila kutoa ht senti [emoji41][emoji41][emoji41]
Hizo akili za kuzichezea labda ni za mabinti wa kijijini ama kizazi cha enzi za Gavana Charles Nyirabu. Hawa waliozaliwa zama za Gavana Daudi Balali utaisoma namba mzee!

Huwezi kumpa anachotaka atakifata kwa mwenzio anaempa halafu uamuzi utakuwa wako, kusuka au kunyoa!
 
Kama mapenzi ingekuwa ni pesa basi benki zingeoa hao wadada. Mapenzi ni kujielez, akikuelewa anakupa papuchi yake tu
 
Ukimuuliza msichana swali hili "je ni aina gani ya mwanaume unaependa aje kuwa mumeo wa ndoa?"Atakujibu hivi "napenda mwanaume yeyote nitakaejaaliwa na Mungu, awe anajiheshimu, mwenye kujua thamani yangu na kunithamini, awe na mapenzi ya kweli pia awe mwanaume aliye kamilika kuhusu pesa na mali hayo anajua Mungu"

Huo unaitwa uongo mkamilifu kwa maana hili neno (mwanaume aliyekamilika) wanawake humaanisha kuwa ili uwe mwanaume wa kweli lazima uwe na uwezo wa kutia mimba mtoto wa watu.

Lakini uwezo wa kutia mimba hautoshi kukufanya wewe kuitwa mwanaume, bali uwanaume wako hutokana na pesa uliyonayo. Maana hata mbuzi zinatia mimba, ila kwa kuwa hazimiliki pesa ndio maana hautakuta mbuzi zimeoana.

Vijana wengi hukimbilia kujimarisha katika huduma ya ndoa na kusahau majukumu ya familia.Mwanamke anaposema kuwa anahitaji mwanaume aliye kamilika anakuwa anakudanganya na kukupoteza.

Aminini nawaambia kuwa starehe ya usiku mmoja haiwezi kumfanya mwanamke akavumilia shida kwa miaka mi5. Ila hata kama humridhishi mpenzi wako na una pesa, ataenda kuzini nje ila jioni atarudi ndani kwa ajili ya pesa uliyonayo.

Sifa kuu ya wewe kuitwa mwanaume wa kweli ni uwezo wa kupata pesa basi, maana hawa wanawake wa leo bila pesa hata uwe na nguvu za kuvuta meli ni kazi bure. Kwanini hamjiulizi kuwa mbona siku hizi kuna ndoa za mababu na mabinti wadogo? Sasa wewe kijana shinda sana gym ukijenga mwili ili kumvutia mkeo mtarajiwa, halafu jibu utalipata baadae kuwa ni kipi kinamtuliza mwanamke kati ya pesa na mazoezi yako.

[HASHTAG]#Acheni[/HASHTAG] ujinga,tafuteni pesa#
 
Hapo zamani mapenzi ya kweli yalizaliwa moyoni na yakakulia moyoni; hivyo upendo ukawa upo mkubwa sana kati ya mtu na mwenza wake, kwa maana upendo ulikaa na kuishi ndani ya moyo ukawa siri kati ya wawili hivyo ilikuwa vigumu sana watu wa kale kuachana maana zile ahadi za kufa na kuzikana ilikuwa ni kweli maana kulikuwa hakuna njia nyingine ya kuwaachanisha wapendanao zaidi ya kifo tu.

Ila baada ya muda kizazi kile kupita, kikazaliwa kizazi chenye uchungu na maisha, chenye kuwaza pesa kikiwa bado kipo tumboni hicho ndicho kizazi kilichogeuza mapenzi; maana kiliyatoa moyoni, yalimokuwa yanaishi na kuyaweka mfukoni kwa tamaa za pesa na maisha mazuri kwa haraka.

Ikabidi mapenzi ya kweli yatokomee na kupotea kabisa, maana baada ya kuhamishwa toka moyoni hadi mfukoni yalishindwa kuishi, kizazi hichi kikawa kikijidanganya kuwa kuna mapenzi ya kweli bado, lakini ukweli ni kuwa, mapenzi ya kweli hayawezi kuishi mfukoni, kilichobaki mfukoni ni uongo,tamaa,usaliti na udanganyifu.

Hivyo ndivyo vitu tunavyojidanganya kwa sasa kuwa ni upendo hata lile neno la kufa na kuzikana limekuwa adimu, maana kwa hali ya leo hii ukimwambia binti kuwa unampenda na wewe ni wake wa kufa na kuzikana, kama huna pesa atakuua mapema ili atimize ahadi ya kufa na kuzikana umuondolee nuksi maishani.Baada ya mapenzi kurudi mfukoni,vijana wengi walishindwa kuyamudu kutokana na ugumu wa maisha na pesa kutokuonekana.

Ndio maana leo hii watu wanapendana jumatatu hadi alhamisi ila weekend wanatengana kwa kukwepa out na hii imekuwa ndiyo chanzo cha vijana wengi kushindwa kudumu katika mahusiano yao, kwa maana wanapokuwa na hamu na wapenzi wao,inabidi wanatafute pesa ili wakakutane nao na baada ya hapo kila mtu apite njia yake.

Wadada wa leo mnalia na kusema kuwa wanaume wamekuwa wasaliti, bila kujua kuwa chanzo ni ninyi maana bila pesa hatuwapati. Sasa ni kijana gani mjinga awezae kucheza kibati cha pesa na mapenzi?

Twendeni hivyo hivyo,tukiwahitaji tunatafuta pesa zikiisha tunakimbia
 
Pesa njooni kwangu, mnifuate na mnitumikie.
Pesa njooni kwangu, njooni kwa wingi, tena mke Na wale wenzenu wa UK, USA Na Europe.
Njooni kwa wingi mifukoni mwangu, kwenye account zangu Na Kila sehemu niliyosoma.
Njooni pesa mnitumikie, nitumikieni mashambani kwangu, kwenye biashara zangu Na kwenye Kila nilifanyalo.
Njooni pesa kwa njia yoyote ya halali. Njooni hata kwa Biko, Tatu mzuka, bet Na njia nyingine zozote.
Kwa Haya mafuta ya Koresh niliyonayo, msiende mbali nami kamwe.
 
Pesa njooni kwangu, mnifuate na mnitumikie.
Pesa njooni kwangu, njooni kwa wingi, tena mke Na wale wenzenu wa UK, USA Na Europe.
Njooni kwa wingi mifukoni mwangu, kwenye account zangu Na Kila sehemu niliyosoma.
Njooni pesa mnitumikie, nitumikieni mashambani kwangu, kwenye biashara zangu Na kwenye Kila nilifanyalo.
Njooni pesa kwa njia yoyote ya halali. Njooni hata kwa Biko, Tatu mzuka, bet Na njia nyingine zozote.
Kwa Haya mafuta ya Koresh niliyonayo, msiende mbali nami kamwe.
Amen
 
Unafkiri wanawake mafala wameisha??!!wanaovumilia hata ukiwa hauna pesa??!!kwani wanawake wangapi unawaona wanaishi na masela choka chafu??ukiwafata hawa madem wa kimjin wanaopiga make up sana ndio wanapenda pesa na hawafai kwa matumiz ya nyumbani
 
Unafkiri wanawake mafala wameisha??!!wanaovumilia hata ukiwa hauna pesa??!!kwani wanawake wangapi unawaona wanaishi na masela choka chafu??ukiwafata hawa madem wa kimjin wanaopiga make up sana ndio wanapenda pesa na hawafai kwa matumiz ya nyumbani
Hahahhahahaha Mungu tuokoe
 
Nyama nenda buchani mzeee
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Back
Top Bottom