St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,994
- 5,233
Kuna jamaa aliwahi kunieleza kuwa silaha kuu ya mwanaume katika mapenzi ni ukali,wadada mnasemaje kuhusu kauli hiyo?
Eti baba ubaya, umewahi kufika Ukune??
Kuna jamaa aliwahi kunieleza kuwa silaha kuu ya mwanaume katika mapenzi ni ukali,wadada mnasemaje kuhusu kauli hiyo?
Ndo wapi..... au ni tusi!!!
Kuna jamaa aliwahi kunieleza kuwa silaha kuu ya mwanaume katika mapenzi ni ukali,wadada mnasemaje kuhusu kauli hiyo?
Mbona unaanza kukasirika sasa .
Fafanua PM, ukali katika nini labda?
Kupenda, kutunza, kufurahisha, kuvaa, kendeza au?
Mkali wa kuchapa na maogomvi , hapo mbona itakula kwako?
Hehehehe sijakasirika ila nimekua mkali ili uone utamu wake!!!!
Alikuwa akimaanisha ukali huo..
Sa ndio ubeijing utaingia hapo......
Mmmmh!!!!!!!!!!!!!
Babau wa loliondo hatoi dawa ya kupunguza ukali kwa mpenzi wako kweli.........
Kuna jamaa aliwahi kunieleza kuwa silaha kuu ya mwanaume katika mapenzi ni ukali,wadada mnasemaje kuhusu kauli hiyo?
Mapenzi ya kweli tu sio longolongo
Hii labda wanapenda wadada wa Mara
Sa ndio ubeijing utaingia hapo......
Mmmmh!!!!!!!!!!!!!
Babau wa loliondo hatoi dawa ya kupunguza ukali kwa mpenzi wako kweli.........
Mh LD loliondo hadi dawa ya kupunguza ukali? haha
Halafu ujue mi napenda sana wadada wakali....................
Heheheeh....basi ukimpata wako mlete nimfundishe kidogo!!!
Usicheke hiyo tu kaniambia hadi ya kupunguza nguvu zangu ipo.........