Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Nimeupenda ufafanuzi wako mkuu,maana hata mimi huwa nashangazwa napoona mdada mrembo kazi nzuri,mume mzuri lakini anajirusha na msela wa mtaani ambaye hana mbele wala nyuma,na kila nikijiuliza sipati jibu.

Kuna Maza mmoja nipo nae Kwa ofisi, tulisafiri nae juzi, so tukiwa field katika story story akalopoka hiyo kuwa amejua utamu wa mapenzi mwaka huu mwanzoni.

Nikajua hapa lazima amechakachuliwa na mchizi wa kitaa na nionavyoo hageuki tena ni kwa mchizi kwa kwenda mbele akihitaji kilele cha mapenzi!!!!
 
Wanaume wengi ni Wabinafsi wa Mapenzi, yeye anakupanda na akishajiridhisha anageuza mgongo na kulala usingizi.
Mwanamke unabaki unahesabu mabati na tension inakua juu siku zote, na hapo ndio mwanzo wa matatizo mengi katika ndoa,
 
Hamna lolote....UngaLTD ndo kila kitu!!!Njiro na sijui Kijenge hamna ishu ....kwanza hata huko vibaka wako tele.Aunti yangu aliwahi kuibiwa sufuria ya wali jikoni mtu anakumbia unaona mkaa tu wa pale juu!!!

Mtu kwao mama hata mimi ukipasema Ukune vibaya hatutaelewana...Lakini wenzetu wa Unga LTD mh...!!! wacha nisimalizie..
 
Wanaume wengi ni Wabinafsi wa Mapenzi, yeye anakupanda na akishajiridhisha anageuza mgongo na kulala usingizi.
Mwanamke unabaki unahesabu mabati na tension inakua juu siku zote, na hapo ndio mwanzo wa matatizo mengi katika ndoa,

Tusaidie basi mama kwa mawazo yako maana tunaulizana humu ili hayo mambo tuwatendeeni ninyi sasa kama kuna ambacho mnapenda kufanyiwa na hamtuambii sisi tutakijuaje?
 
Mtu kwao mama hata mimi ukipasema Ukune vibaya hatutaelewana...Lakini wenzetu wa Unga LTD mh...!!! wacha nisimalizie..

Bwana mi nafagilia ukweli tu...UngaLTD ukiamka unaenda kupiga mswaki na kuoga pale mtoni kwahiyo adha ya maji hamna.ViBAKA nao wanataifisha tv na redio kwahiyo umeme hatuhitaji!!!
 
Kuna Maza mmoja nipo nae Kwa ofisi, tulisafiri nae juzi, so tukiwa field katika story story akalopoka hiyo kuwa amejua utamu wa mapenzi mwaka huu mwanzoni.

Nikajua hapa lazima amechakachuliwa na mchizi wa kitaa na nionavyoo hageuki tena ni kwa mchizi kwa kwenda mbele akihitaji kilele cha mapenzi!!!!

Na vilevile inawezekana kuwa mumewe alikuwa na matatizo ambayo sasa yamekwisha na mama anafurahia penzi lake.
 
Naomba kuuliza wanajamvi,katika mapenzi ili yadumu na kutopungua thamani mwanaume anatakiwa awe na silaha ipi?Naomba kwa kuanzia niseme tu ninavyoona mimi, naona ni mapenzi ya kweli na kujali hisia za mpenzi wako,nina imani kuna watakaofikiria pesa lakini kwangu mimi pesa ninaona kama hazina faida yoyote katika mapenzi ya kweli kwani tumeshuhudia mapenzi yanapotawaliwa na pesa basi huwa hayadumu hata siku moja.Wana JF naomba tusaidiane..

acha uongo saint
 
Bwana mi nafagilia ukweli tu...UngaLTD ukiamka unaenda kupiga mswaki na kuoga pale mtoni kwahiyo adha ya maji hamna.ViBAKA nao wanataifisha tv na redio kwahiyo umeme hatuhitaji!!!

Sasa kwa wastani mtu akihamia huko mpaka wamzoee na kumjua huwa wanakuwa wameshamkaba kama mara ngapi?
 
Usipokuja na mashauzi hata wanavyochukua kwa mara kwanza utarudishiwa kisanii!!Ila ukijiona wewe ndo wewe mpaka pazia litataifishwa!
 
Bwana mi nafagilia ukweli tu...UngaLTD ukiamka unaenda kupiga mswaki na kuoga pale mtoni kwahiyo adha ya maji hamna.ViBAKA nao wanataifisha tv na redio kwahiyo umeme hatuhitaji!!!

Huu ni mchango wa hii thread au ndo zile za kuchomekea thread kwenye thread za zinazo-exist? nimejaribu kutafuta link sijaona kama kuna link kati ya thread husika na hii post?
Samahani kama nimekukwaza lakini!
 
Ulimi tu hakuna kitu tunapenda wanawake kama kupewa maneno ya mahaba muda wote, haijalishi kama mengine ni uongo au nini, umjali na kumheshimu mwenzako hapo umemaliza mchezo mengine ni kumalizia tu
Kama Kusukuma mlevi - lol
 
Huu ni mchango wa hii thread au ndo zile za kuchomekea thread kwenye thread za zinazo-exist? nimejaribu kutafuta link sijaona kama kuna link kati ya thread husika na hii post?
Samahani kama nimekukwaza lakini!

Hili lithread linaenda Ukune linarudi,
Linakwenda linarudi,
Hivyo hivyo, ili mradi maisha ya leo yanaendelea.
Kwa hio we likubali tu kama lilivyo Baba uzuri.
 
:lol::lol::lol: Muulize kwanza alishawahi kufika huko?
 
Huu ni mchango wa hii thread au ndo zile za kuchomekea thread kwenye thread za zinazo-exist? nimejaribu kutafuta link sijaona kama kuna link kati ya thread husika na hii post?
Samahani kama nimekukwaza lakini!

Umefuatilia vizuri kweli???Maana nisingeweza kutoa jibu kama hamna swali!!!
 
Back
Top Bottom