Wanajamvi habari zenu,
Naomba nichangie Thread kama ifuatavyo;
Hisia, Pesa, Utanashati, Ucheshi na kila aina ya kikorobwezo ni catalyst tu lakini kiini cha vyote ni \Mwanamke kufika kileleni, coz unaweza kukaa na mwanamke kwa miaka kenda na asijue utamu wa Mapenzi kwa sababu tu hajawahi kufikishwa na ndio maana katika simulizi wakiwa saloon akiambiwa tu ile raha ya kufika kileleni walahi anakuacha na maucheshi yako na kila kitu anakwenda jaribu nje, walahi akifikishwa kileleni katika jaribio la kwanza kwenda nje ujue utabaki na maucheshi, utanashati na mautajiri yako na hata kama atakaa na wewe lakini lazima atakuwa anakwenda kuchakachuliwa kule anakofikishwa kileleni na zaidi atakuibia hayo mapesa na kuhamisha kidogo kidogo kwa jemba linalomfikisha kunako utamu wa penzi.
So the way unavyom-do vizuri na yeye kufika kileleni ndo siraha pekee.
Ni mtazamo wangu tu Jamaa zangu!!!