LD
JF-Expert Member
- Aug 19, 2010
- 3,014
- 578
Na ujiandae haswa maana watu tuna hamu ya kutoa mapenzi ya kweli...
Ha ha ha ha
Ngoja nitafute ungo nitue hapo,
Ukune sasa hivi,
Na ujiandae haswa maana watu tuna hamu ya kutoa mapenzi ya kweli...
Sitaki maana kuna mahali umeniangusha.Labda kwa niaba ya bibi:juggle:
Nimetazama tu avatar yako tayari nimepata hamu ya chai.
Ha ha ha ha
Ngoja nitafute ungo nitue hapo,
Ukune sasa hivi,
Sitaki maana kuna mahali umeniangusha.Labda kwa niaba ya bibi:juggle:
Fanya hima mama wakati huohuo mimi naandaa eapoti...
Nielekeze nlipokuangusha nikakuinue mpenzi wangu mpya.
Sasa babu, unakaaaaaaa weeeeeeeee, mpaka tunakosa majibu.
Ndo unakuja, Nashukuru, maana nimeambiwa Nijiandae,
kumbe tatizo ilikuwa ni wewe tu!!!
Babu na wewe utaenda Unga LTD..
Nilikuwanimeenda loliondo kuongeza ufanisi wa hiki kimwaga mkojo ambacho bibi yenu ndo kakipa namba moja....kikidumaa wakware hawachelewi kunichakachulia kizalisha watoto wangu.
Unga ltd kwa mama Matejoo? Ukikaa pale wiki mbili kama hujanyweshwa gongo ya mavi ya ng'ombe dume, we kidume!
:lol::lol::lol: Babu kumbe na wewe ulienda kukarabati Pembejeo....
Tobaaaaaaaaaa,ndio maana nilikuwa nikitoka zangu Njiro bora nizungukie kijenge ndio niende mjini kuliko kukatishia Themi na Unga LTD
Nilikuwanimeenda loliondo kuongeza ufanisi wa hiki kimwaga mkojo ambacho bibi yenu ndo kakipa namba moja....kikidumaa wakware hawachelewi kunichakachulia kizalisha watoto wangu.
Kwa hiyo sasa ufanisi umeongezeka babu.
Babu mchangie PM aende naye kuongeza ufanisi,
Muazime hata tukutuku lako hilo.
Manake naona dah,
Kwa hiyo sasa ufanisi umeongezeka babu.
Babu mchangie PM aende naye kuongeza ufanisi,
Muazime hata tukutuku lako hilo.
Manake naona dah,
Hahaha, siku hizi nimetajirika...namiliki bajaji. Nachoipendea bajaji yangu inakubali hata matairi ya trekta
Hahaha, siku hizi nimetajirika...namiliki bajaji. Nachoipendea bajaji yangu inakubali hata matairi ya trekta
Hahahahah...tafazali usimwambie mwenye kwake kama nimemtukania mji wao.