Usaliti wa mapenzi si kitu cha kawaida

Usaliti wa mapenzi si kitu cha kawaida

SanArt

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2026
Posts
1,000
Reaction score
1,631
Kuna wengine huja kusema eti, mwanaume ni kawaida, kupata radha tofauti..., Hapana ni maamuzi binafsi, mtu kama anakupenda kweli, hawezi kujikuta ametamani mwanamke mwingine.

Ogopa sana mtu akuambie nilipitwa, trust me, huyo hana mapenzi ya kweli kwako. Mtu anayekupenda kweli atakujulia hali kila wakati, atakupa mda wake, ata dedicate maisha yake kwako.

Mbona kipindi naanza mapenzi yalikuwa moto moto..

Tuache kusema eti mtu haridhiki na mtu mmoja, huo ni uongo mkubwa.

A person who loves, you won't allow any distraction to venture his or her mind. He'll keep the promises he made at church ⛪ on the wedding day, or on the day she proposed to you.

Na kwa wanawake pia, usije kuweka dhana kuwa mwanamke alidanganywa na akapitiwa, ile process mpaka anavuliwa chupi no mchakato mkubwa na usio na papara kabisa.

Tuache ku normalize swala la kichitiwa as if sisi ni wanyama tusio na conscious choices.

Ni akili za jamii iliyo duni kifikra ndo inaendekkeza haya mambo.

Namaliza kwa kusema, if someone shows you who they are believe them. Don't second guess someone's clear intentions.
 
Ni akili za jamii iliyo duni kifikra ndo inaendekkeza haya mambo.
Sasa mkuu umeshajua kabisa jamii yetu ina sifa hizo ulizotaja hapo, so usishangae kuona wanaendekeza hayo mambo..

Lakini hebu nisaidie mfano wa jamii moja unayoijua ambayo haiko duni kifikra na hakuna kabisa masuala ya ku cheat ili tuige kutoka kwao..
 
Kucheat sio mbaya, hasa kwaaababu kila mtu ana machaguzi yake..

Ila uaminifu ndo ninacho kimaanisha,

Jamii zenye elimu na kujitambua, hasa wazungu kwa Kucheat ni kwa rate ndogo sana (sio kwamba haipo) bali ni kwamba watu wanakuwa na uelewa na kutokuwa na second guessing maswala ya Kucheat wana move on bila visasi
 
Mimi nafikiri huenda hili suala la kuwa na mpenzi mmoja maisha yako yote tunalilazimishia ndio maana watu wanacheat sana.

Wazungu wao kuoa na kuacha ni sekunde so mtu anaweza akawa hacheat ila anaoa na kuacha kila mwaka. Similar to waarabu nk
 
Back
Top Bottom