Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Kuna mmoja kaniambia eti silaha kuu ya mwanaume ni kumroga mpenzii wako kabla hajakuroga yeye..
 
Na mwigine alimwambia ukizidi kunifuatafuata nitakuloga uwashwe miezi sita usiku na mchana..

Na mie rafiki yangu kabla hajaoa alikuwa anawapanga halafu wakipiga kelele anawaambia "itakucost" demu anatulia tuliiii. sijui alikuwa anawapa nn na walikuwa wa maana wasomi wazuri. sasa ameoa ametulia utadhani sio yeye.
 
Gaga huyo sijui alikuwa anawapa nini:lol::lol:
 
Na mwingine alikuwa anaishi karibu na polisi post basi kila msichana akimletea zake na yeye hamtaki utasikia anamwambibia nitakubambikia kesi wewe...
 
Kuna mmoja kaniambia eti silaha kuu ya mwanaume ni kumroga mpenzii wako kabla hajakuroga yeye..

Mmmmmh, kwa hiyo wanaume ni wachawi sio, Wanaloga!!!!
Manake hapa ni silaha kuu ya Mwanaume inatafutwa.
 
Gaga huyo sijui alikuwa anawapa nini:lol::lol:

Komred kwetu Ukune tuna mzizi unaitwa Lukomolo ukiwa nao huo unaweza kuwapanga hata 100 na hutasikia wakigombana hata siku moja na wanafahamiana...na wala hakuna atakayewaza kukuacha..
 
Mmmmmh, kwa hiyo wanaume ni wachawi sio, Wanaloga!!!!
Manake hapa ni silaha kuu ya Mwanaume inatafutwa.

Kuna mtu tu ameni PM hivyo mimi siwezi kueleza kwa kirefu kwa kuwa mimi siamini mambo hayo.
 
Kukudanganya nimekudanganya na ukajua kuwa nimekudanganya ukafurahi nilivyokudanganya kwa kuwa ulielewa nilivyokudanganya ndio maana wote tukaishia:lol::lol::lol: tukijua ilikuwa ni ZE KOMEDI

Nilicheka kwasababu nilijua fika ulivyonidanganya kua umenidanganya ulikua unanidanganya.
 
Aisee nimemkoli bibi yenu anayenipenda sana nikamuuliza hivi nimekamata bunduki yenye risasi gani mpaka ananimaind namna hii na kunigea kizalisha mtoto bure bileshi siku 24 kwa mwezi....kanambiaje ujue?

1. Baioloji.... Unajua kuitumia ninavyopenda na kila ninavyoihitaji hunibanii.
2. Ulimi....we u mcheshi sana mme wangu, afu hujui kutukana, kunikoromea wala kunidhalilisha
3. Kunijali.... mwepesi wa kujirudi unapokosea, masapraiz yako ndo haswaa, na unavyocheza na vibinti unaniua mazima

Nikamuuliza na kingine? Kanambia hivyo vingine wala haa sivijui:

Kwa mantiki hii, kwa kufuata order ya kuhesabu moja mpaka mwisho....kwa mujibu wa bibi yenu....Angalieni namba 1 hapo juu.

Narudi kitandani kumchum bibi enu!
 
Hivi mapenzi ni nini vile?

Hivi mapenzi ya kweli ni nini vile?

Hivi kuna mapenzi ya uongo?
 
Shabash....!!!! Hapo ndio umuhimu wa wababu unapoonekana,nashukuru kwa kuwa kuna jambo nimejifunza hapo,LD jiandae......
 
Hivi mapenzi ni nini vile?

Hivi mapenzi ya kweli ni nini vile?

Hivi kuna mapenzi ya uongo?

Nitakujibu swali la tatu maana la kwanza na la pili yanahitaji maelezo kidogo,mapenzi ya uongo yapo sana tu na kwa idadi inaonesha kuwa yale ya uongo yanazidi mapenzi ya kweli...niko tayari kwa ufafanuzi zaidi
 
Aisee nimemkoli bibi yenu anayenipenda sana nikamuuliza hivi nimekamata bunduki yenye risasi gani mpaka ananimaind namna hii na kunigea kizalisha mtoto bure bileshi siku 24 kwa mwezi....kanambiaje ujue?

1. Baioloji.... Unajua kuitumia ninavyopenda na kila ninavyoihitaji hunibanii.
2. Ulimi....we u mcheshi sana mme wangu, afu hujui kutukana, kunikoromea wala kunidhalilisha
3. Kunijali.... mwepesi wa kujirudi unapokosea, masapraiz yako ndo haswaa, na unavyocheza na vibinti unaniua mazima

Nikamuuliza na kingine? Kanambia hivyo vingine wala haa sivijui:

Kwa mantiki hii, kwa kufuata order ya kuhesabu moja mpaka mwisho....kwa mujibu wa bibi yenu....Angalieni namba 1 hapo juu.

Narudi kitandani kumchum bibi enu!

Unastahili pongezi na bibi anastahili hongera!!
 
Sasa babu, unakaaaaaaa weeeeeeeee, mpaka tunakosa majibu.
Ndo unakuja, Nashukuru, maana nimeambiwa Nijiandae,
kumbe tatizo ilikuwa ni wewe tu!!!
 
Na ujiandae haswa maana watu tuna hamu ya kutoa mapenzi ya kweli...
 
Back
Top Bottom