Darlin
JF-Expert Member
- Aug 9, 2020
- 4,815
- 10,702
Safi sana walivyopigwa maana hawakustahili kufika iyo hatuaEti ukweli na uhakika Croatia wametudhalilisha wenye matarajio ya wengi
Hawajacheza Mpira uliotarajiwa
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Depal utanikubalia utoke na mimi?
Sifa zangu:
1)Mrefu wa 6'2
2)Mwembamba na mweusi kiasi
3)Nikicheka/nkitabasamu masikio, meno na sura Yangu nafanana na barak obama au pele
4)Sina hela.
Equation x naomba ukuye unibembelezee depal asinikimbie..
Kumbe ulipuuza wito wangu?😅Sinaa shougaaangu nipo nimezubaa tyu!
Sasa mbona nyie wanawake mara nyingi mkipata wanaume wenye hela, halafu ni watoaji, mnaishia kuwadharau na kuwapiga na vitu vizito? DejaneNamba 4 inakufanya ukose sifa zotee
Mambo ya kufolowana inlavu ndo mazuri😀Komenti bora kabisa kwenye huu uzi. Naanza kufolo inilavu!
Sitaki hekaheka mie🙌!Kumbe ulipuuza wito wangu?😅
Hapo ukichepuka tu, unakula kichapoMimi nikiwa na Babe wangu wa JF katika mishe za mtoko wa mwisho wa mwaka😁😁😁
View attachment 2445928
Hutawezana na dogodogo baby!Aaah!! Naanza kutafuta dogodogo, wewe ni lizee🤣🤣🤣