Ngoja kwanza nijaribu.Hutawezana na dogodogo baby!
Acha unafki😄Sitaki hekaheka mie🙌!
Thanks for the encouragement!Mambo ya kufolowana inlavu ndo mazuri😀
Huyu mbona hana...yuko na pasi

Here i am Grandson, hujambo!Utatoka na bibi siku hiyo?financial services where are you my lovely Bibi?
Yes yes yes yes.Here i am Grandson, hujambo!Utatoka na bibi siku hiyo?
Haaa unamuona bibi badala umuone babe wako ? Aisee😀Yes yes yes yes.
Naomba ulimwengu mzima ujue kuwa Niki drink water nakuona Bibi....
Umejitwalia kitu chema mkuu, huyo binti hapo nimekukubali dogo!!Yes yes yes yes.
Naomba ulimwengu mzima ujue kuwa Niki drink water nakuona Bibi....
Umejitwalia kitu chema mkuu, huyo binti hapo nimekukubali dogo!!



Uwadanganye wendawazimu wengineCute b na huyu Bibi yangu FS ni kitu kimoja.
Mzee mwenzangu na nani we binti?
Mawimbi ni makali sana.....
Naona likes tu Mzee mwenzangu..
Mzee mwenzangu na nani we binti?
Shem nataka nikunong'oneze kitu, si unajua siwezi kukaa bila kukusemesha![]()






Itakuwa taratibu shem, huu mwezi twende kwa utaratibu la sivyo ujao tunaweza kukimbiana🤣
Mzee mwenzangu na wewe hapo....
Ninong'oneze tu Shem Darling wangu...
But Iwe taratibu tuu...si unajua tena huu mwezi![]()
Itakuwa taratibu shem, huu mwezi twende kwa utaratibu la sivyo ujao tunaweza kukimbiana![]()






Itabidi nikutafute tu, ujue mi nna aibu eeh, hapa siwezi🤣🤣
Naaaam Shem
Leta maneno..