Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 54,932
- 53,944
Mchovu wa kusugua ama?Nitatoka na Mtu atakaye kibali kutoka na mie ila asiwe mchovu
Mchovu wa kusugua ama?Nitatoka na Mtu atakaye kibali kutoka na mie ila asiwe mchovu
😁😁😁😁😁
Usije kunisumbua tena kuwa una mkosi[emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Hahaha, kumbe nachezea bahati zangu hapa?
Mi nakuangalia tu[emoji16] unavyojishauaHahaha, kumbe nachezea bahati zangu hapa?
Hahaha...fatilia comments zote ujionee[emoji16][emoji16][emoji16]witty acha masihara basi!!
Sio kweli, huyo Unique ndio kasema na unamjua vizuri[emoji16][emoji16]Hahaha...fatilia comments zote ujionee
Jamani hutaki posho ya meza 😄😄Kheeee mim sitamani kabisa kabisa kabisa.
😂😀Hauna mbambamba
Kwakweli nashukuru Kwa ilo maana nilikuwa nasubiri wasiotakiwa niwaalike waje niwapikie ugali na dagaa X mas wapunguze majonzi 😂😂😂😂
Mambo hayo🥰 niandalie gauni la sikukuu Sasa na skonkonko 😂😂
Komenti bora kabisa kwenye huu uzi. Naanza kufolo inilavu!Msisahau makadirio yenu ya kujifungua yatakuwa September 2023 😂😂😂nipo nimekaa pale
Kumbe kwenye kuchagua mchumba hadi unapiga kingereza!I will prefer Glenn 😍
Mkuu tulia tulia tafadhali😂Kumbe kwenye kuchagua mchumba hadi unapiga kingereza!
Daaah, mtoto ametema yai kabisa ili kukuchagua mkuu. Nielekeze mganga wako na mimi niende. Maana sijapata request hata kwa kiswahili.Mkuu tulia tulia tafadhali😂
Hahaha...Kuna wengine kama wawili angalia vizuriSio kweli, huyo Unique ndio kasema na unamjua vizuri[emoji16][emoji16]
Aisee haya nasubiri hiyo siku ya kutoka, usinizingue mkuuMimi nitatoka na financial services my beautiful baby