Utatoka na nani wa JF?

Utatoka na nani wa JF?

Kwakweli nashukuru Kwa ilo maana nilikuwa nasubiri wasiotakiwa niwaalike waje niwapikie ugali na dagaa X mas wapunguze majonzi 😂😂😂😂
Umetisha!! Ugali dagaa nukseee 😁😁😁😁
 
Depal utanikubalia utoke na mimi?

Sifa zangu:
1)Mrefu wa 6'2
2)Mwembamba na mweusi kiasi
3)Nikicheka/nkitabasamu masikio, meno na sura Yangu nafanana na barak obama au pele
4)Sina hela.

Equation x naomba ukuye unibembelezee depal asinikimbie..
 
Jana nilikutana na mjaa mmpja hoi na hiyo makitu pamoja na chanjo...usitupe mbachao kwa msala upitao 😂 😂 😂 😂 😂 😂
🤣🤣🤣Hayo makitu nlishuhudia rfk angu mtoto wa kishua anatapika damu, peleka hosi hakua na shida yyte. Jamaa alidead aiseh bado mdg sana
 
Back
Top Bottom