Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,457
- 176,442
Njoo nipo usukumani huku🤣🤣🤣Si umejifanya umekua?
Ntakufuata hùko sijui mashati au mtoni nikuchape😂
Njoo nipo usukumani huku🤣🤣🤣Si umejifanya umekua?
Ntakufuata hùko sijui mashati au mtoni nikuchape😂
Aaaw wapi mdanganye mke mwenzio😂😂😂Njoo nipo usukumani huku🤣🤣🤣
Take self ujue unapigania Nini kesho mpige self muone kazeeka .Aloooh!! Kwahiyo mume wangu kazeeka 🙆🙆🙆🙆
🤣🤣🤣🤣🤣 Eti mke mwenzangu!!Aaaw wapi mdanganye mke mwenzio😂😂😂
Amekuachia zee lako🤣🤣🤣🤣🤣 Eti mke mwenzangu!!
Hebu muache Unique Flower maana anashusha kichambo ananichamba mie na mume wangu🤣🤣🤣
Alooooh🤣🤣🤣🤣🤣Take self ujue unapigania Nini kesho mpige self muone kazeeka .
Mume ametukanwa !?? Kwa lipii??
Madam unajua matusi ??
Ngoja nikupe mfano ya vitu vya mtu kama mie. I think umeerewa vitu vidogo pesa pia ipo mtoko wa mumeo mwisho wapi??
Dubai au Newyork kwenye zile hotel za five stars??
Sie matamanio ndio haya bibie pole umekosea njia
Halafu lipare😂😂😂😂nimecheka sana.Zee halafu halina hata hela🤣🤣🤣🤣🤣
Nimepatikana leo!
Safi sana, hayo ni malipo ya udalali🤣🤣🤣🤣Eti ukweli na uhakika Croatia wametudhalilisha wenye matarajio ya wengi
Hawajacheza Mpira uliotarajiwa
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
huyo ma J ye si anamwaga maji mengi, mi ntakua namwaga Lori la maji alf tuone huyo bwana atahamia kwa naniUwe mama J2
Mkapigane huko wakuu😄huyo ma J ye si anamwaga maji mengi, mi ntakua namwaga Lori la maji alf tuone huyo bwana atahamia kwa nani