Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,448
- 176,426
Kwahiyo Anne wewe wa kumdalalia mume wangu kweli!!!!?Naona bado unakaza fuvu,baadaye uje kusema huna kismati,Anne nikusaidie.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Kwahiyo Anne wewe wa kumdalalia mume wangu kweli!!!!?Naona bado unakaza fuvu,baadaye uje kusema huna kismati,Anne nikusaidie.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Mimi najiamini kivipi??Binti unajiamini nini labda!!!
Weh!hela Mzee babaMchovu wa kusugua ama?
Mume wako ni ERoni ?Kwahiyo Anne wewe wa kumdalalia mume wangu kweli!!!!?
Ananiombaga niwe dalali wakeKwahiyo Anne wewe wa kumdalalia mume wangu kweli!!!!?

Kutaka kutoka na waume za wenyewe?Mimi najiamini kivipi??
Nimeshakuandikia message ndefu hujasoma endelea kuandika hizo ni shida😝 zako .Kutaka kutoka na waume za wenyewe?
Wacha bwana🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mume wako ni ERoni ?
Wahalali??
Halafu humu jf nani anajua nani??
Kingine mbona umepanic hivyoo???
Ukiwa hivyo humu utasurrender nakuzimia Kuna watu hawana hiyana na hawajui yupi ni yupi wanasema tu wanachojisikia .
So cool down kama tu.
Nimeungilia course umenishangaza umekuja na jazba unaniambia najiamini .
For whom ??
Since 2019 na mchumba tayari so humu nikujifurahisha nawatu wanajua so kumpiga mkwara mtu
usiyemfahamu ni kosa lajinai.
Tu assume kuwa nimemzoea huyo wako je nani kamzoesha mwenzake Huwa ni wanaume wa humu mtu hujanamakeke yake naanashawishi uanze utani naye unaanza .
Let me make this clear siwezi kuwaga na wanaume za watu . Either awe Hana huyo mke wamesaparate so Hilo kwangu naweza .
Mimi nimtani tu ila ukinitibua weweee ni dawa chungu kuliko mrobaini .
Unadhani nitaolewa naye lah aisee sio nyota yangu ujue tu.
Asilimia kubwa hujui kila lengo na matamanio ya mtu mie napenda vitu vipya wanaume za watu ni vitu used kitu ambayo ni chefu kwangu hata kama kaoa 3 months licha ya nyie mko kama 20 years mmeshasonga pole ni Bora uolewe na muhindi kama waafrika wote wameisha ambayo sio vitu used.
Weeeeh!!Ananiombaga niwe dalali wake
Ila huwa namwambia apambane na hali yake
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Wewe ulimpata akiwa kijana why mie ning'ang'ane akiwa Mzee wewe mtu usitutie majaribuni wapo watu young na wamejitunza sana ni fresh na ni yangu ngoja nikutumie picha uone tofauti.Wacha bwana🤣🤣🤣🤣🤣🤣
We binti hebu kuwa na adabu. Acha kunitukania mume!!Nimeshakuandikia message ndefu hujasoma endelea kuandika hizo ni shida😝 zako .
Sipendagi vitu used na huyo mumeo ni used
Aloooh!! Kwahiyo mume wangu kazeeka 🙆🙆🙆🙆Wewe ulimpata akiwa kijana why mie ning'ang'ane akiwa Mzee wewe mtu usitutie majaribuni wapo watu young na wamejitunza sana ni fresh na ni yangu ngoja nikutumie picha uone tofauti.
Kisa mume!! We mtoto hebu nitake radhi🤣🤣🤣
Nshakwambiaga fambaf zako mie mjomba ako😂Kisa mume!! We mtoto hebu nitake radhi🤣🤣🤣
Mjomba wangu hawezi kuniambia hivyo🤣🤣🤣Nshakwambiaga fambaf zako mie mjomba ako😂
Si umejifanya umekua?Mjomba wangu hawezi kuniambia hivyo🤣🤣🤣