Utaratibu wa kuandika barua ya posa

Anuani yako
Anuani ya ukweni

Yah kumposa binti yenu Chausiku.
Husika na kichwa cha habari hapo juu,mimi Mfuniko Ndoo Mchafukuoga naomba kumposa binti yako ..........
Kwahekma na taathima natumai ombi langu litakubaliwa
Wako mkwe mtarajiwa
M.N.Mchafukuoga
 
andika hivi

yah: ombi la kumposa bint kwenda kumfanya punda

jitambulishe wewe ni mirembe kichaa sugu kizee mwenye miaka 100 , ukiwa na akili zisizo timia unaomba kumposa binti yao malaya sugu.

unaahidi kumchukia na wala hutamjali kwa chochote, na wala hauko tayari kumuoa nia yako ni kumchezea tu.

matumaini maombi yako yasikubaliwe kwenu wazazi wajinga sana.

wenu,
kichaa sugu
 
Habarini wakuu.

Moja kwa moja bila kupoteza muda nipo hapa nimeandaa kalamu na karatasi. Kila nikijaribu kuandika naona kama nimekosea na najikuta nakata na kuchukua karatasi nyingine.Wadogo naomba mtupishe wakubwa, na ukiona kama haujatimiza umri wa kutangaza nia ni bora usi coment chochote.

Wakubwa wenzangu nipeni taratibu na jinsi ya kuiandaa hii barua ili nikamilishe lengo na pia naomba kujua ndani ya barua niattach kiasi gani.Pia nisingependa uzi huu usiwe na matusi ili moderators wasiu delete.

Karibuni wadau.
 
unaanza hivi,
mpendwa baba mkwe...salamu sana..ama baada ya salam ni matumaini yangu u-buheri wa afya,kwa upande wangu mm ni mzima hofu na mashaka ni kwako ww uliye mbali na upeo wa macho yangu..<endelea>
 
unaanza hivi,
mpendwa baba mkwe...salamu sana..ama baada ya salam ni matumaini yangu u-buheri wa afya,kwa upande wangu mm ni mzima hofu na mashaka ni kwako ww uliye mbali na upeo wa macho yangu..<endelea>

nataka nimuoe mwanao, na nimeweka tsh.......kama kishika uchumba

wako katika ujenzi wa taifa.
 
unaanza hivi,
mpendwa baba mkwe...salamu sana..ama baada ya salam ni matumaini yangu u-buheri wa afya,kwa upande wangu mm ni mzima hofu na mashaka ni kwako ww uliye mbali na upeo wa macho yangu..<endelea>

....Nimevutiwa sana na mwanao baada ya kunipa vitu adimu wakati namgegeda, hivyo ninakuomba nimchukue jumla. (endelea).
 
Habarini.. wakuu!

Moja kwa moja bila kupoteza muda nipo hapa nimeandaa kalamu na karatasi.

Kila nikijaribu kuandika naona kama nimekosea na najikuta nakata na kuchukua karatasi nyingine

wadogo naomba mtupishe wakubwa, na ukiona kama haujatimiza umri wa kutangaza nia ni bora usi coment chochote.

Wakubwa wenzangu nipeni taratibu na jinsi ya kuiandaa hii barua ili nikamilishe lengo.

Na pia naomba kujua ndani ya barua niattach kiasi gani?

Pia nisingependa uzi huu uwe na matusi ili moderators wasiu delete.

Karibuni wadau.

Ninavyojua mimi ni kuwa kila kabila lina utaratibu wake na labda yapo baadhi ya makabila yanayofanana taratibu za mahari,mfano:

kuna ambazo huna haja ya kuandika barua na kuattach pesa ila unapeleka kitu kingine mfano ndama,mbuzi,pombe n.k

Zingine ndio hiyo barua na kiasi flani cha hela ila huo ni utambulisho then mahari baadaye.
 
ngoja nikusaidie kuandike hiyo barua ya posa.

ni mimi.......................... ........nimekuja kumposa binti yenu.........................t oka nilipomuona kwa mara ya kwanza binti yenu mapigo ya moyo yalienda mbio,nikawa kula sili,kulala silali,nikinywa maji namuona kwenye glass,nilichompendea binti yenu adi nikaona nilete posa,ni ayo mahaga yake hips,ana hips za ukweli bila kusahau inyegwede,tukija kwenye macho yake akiniangalia ni kama ananiita,yani kutoleta posa kwenu ingekuwa ni jambo ambalo ningejutia sana.
pia chuchu zake ni saa 6 kwa kweli nikaona nilete posa leo,infact mkiniruhusu nimuoe binti yenu mtaenjoy sana,mtakula bata,nampango fungate pia niwashirikishe na nyie wazazi twende sote,mtafurahi sana yani msipoteze hii bahati ivo mniruhusu ni muoe bint yenu.
nina sababu kubwa ya kuwaambia mniruhusu nimuoe binti yenu,mimi niko na pesa sana mtaenjoy for da rest of ur life,
ni wako mme mtarajiwa wa binti yenu mashalah.................
weka sahihi.......................
tarehe........................ .

huu ni mtazamo wangu wakuu nimemsaidia ili apewe mke na posa ikubaliwe,mia
 
nyingine hii utachagua mwenyewe



attachment.php
 
Hah toba kwetu zenji hatufanyi hivyo umemuona kichuna umempenda unataka kumuoa unatuma watu baadae inapangwa siku ya kwenda na anae taka kuolewa anaambiwa kua kaja mchumba vipi unataka akikubali inapangwa siku ya kukutanishwa na kudaiwa mahari
 
Back
Top Bottom