Utaratibu wa kuandika barua ya posa

Ka2pain

Member
Apr 19, 2011
96
95
Na hii barua unaiandika kwa mkono au inaichapa.,, na mfumo mzuri ni kama barua za kiofisi ama
 

1gb

JF-Expert Member
Jun 30, 2013
1,876
2,000
Na hii barua unaiandika kwa mkono au inaichapa.,, na mfumo mzuri ni kama barua za kiofisi ama
Inatemeana na unakopeleka labda kama kwao teknolojia bado ni msamiati kwao.
Mimi binafsi niliandika kwa simu nilitumia (officeapp) nilipomaliza nikaituma kwa gmail kwa mshikaji aliyeko huko ukweni..
Akai print stationary..nikatuma muamala wa kishika uchumba ikingizwa katika barua.
Mshikaji akampelekea mzee flan akaipokea akapeleka kwa wakwe.

Barua iliposomwa majibu ndani ya siku mbili nikatumiwa na mshikaji kwa watsap..🤣🤣.
Nikapangiwa vya kulipa.

Siku ya kwenda kulipa mahali ndo nikaenda kuprint barua hyo ya majibu stationary tukaenda nayo ukweni.
Yaani hata sikusumbuka kutuma li barua kwa konda au kwa basi.
Hayo yote yamefanyika mwaka jana mwishoni.
Now nina mke,niliyetuma posa kwa email🤣🤣.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom