Utaratibu wa kuandika barua ya posa

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,890
Naomba kufundishwa jinsi ya kuandika barua ya posa.

Je ni vitu gani muhimu vya kuzingatia?

Ni mfumo gani wa barua ya kuandika, ya urafiki au kikazi? Je waweza tuma email kama barua ya posa au sharti ipelekwe kwa mkono? Je hela lazima iwekwe kwenye bahasha? hauwezi kutuma cheque, au kwa njia ya western union, bank au m-pesa?.

Mwenye uwelewa wa haya mambo naomba anisaidie kunielewesha. Ni hayo tu. mia
 
Mmmhh, ngoja nijaribu.

Figanigga Mia
P.O Box Wanikondesha
Malazidavi

Mzee Ngengemkeni Mitomingi
C/O Kijiji cha Ujamaa
Huko Kijijini.


Yah: Posa ya bintiyo Mazoea Mitomingi

Salaam sana, ama baada ya salamu sie wote hatujambo

Dhumuni la waraka huu ni kuleta posa kwa binti yako Mazoea Mitomingi, mie ni kijana wa Mzee Mia, huyu balozi wa kijijji cha Malavidavi.

Naambatanisha noti ya sh. 10,000 ya posa.

Wasalaam,

Figanigga

Tafadhali, msisahau majibu muhimu sana.

Akyamama ningekuwa mwanamme ningekosa mke sababu ya kushindwa kutongoza
 
umenikumbusha mbali sana...hahahahaha,kuandika barua ya kishika uchumba a.k.a POSA..LOL,nilikuwa na mawazo ni balaa..
 
Hakuna mtu asiyependa chapaa, andika barua ya kawaida yenye maelezo machache tu ila tupia mapene ya kutosha ikiwezekana changanya na tu-dollar uone utavyokubalika faster...
Pesa sabuni ya roho bhanaaa!
 
mkuu mi ninavyoelewa huwezi kutuma e mail,
barua yenyewe iwe kwenye bahasha na ifungwe na kitambaa engachif( kitambaa cha mkononi) hii ya kufungwa na kitambaa sidhani kama ni kwa wote, ni muhimu ipelekwe na mtu mzima kwa mkono na ni muhimu itolewe taarifa siku ya kupelekwa sababu ikishapokelewa ndio unapata utaratibu mzima wa kutoa mahari na kuoa.
mimi nimeowa muda kidogo jinsi ya kuandika nishasahau labda Mtambuzi anaweza kukumbuka
Kongosho si umtolee kopi ile barua iliyoletwa wakati unaposwa aaangalie fomat yake??
 
Mmmhh, ngoja nijaribu.

Figanigga Mia
P.O Box Wanikondesha
Malazidavi

Mzee Ngengemkeni Mitomingi
C/O Kijiji cha Ujamaa
Huko Kijijini.


Yah: Posa ya bintiyo Mazoea Mitomingi

Salaam sana, ama baada ya salamu sie wote hatujambo

Dhumuni la waraka huu ni kuleta posa kwa binti yako Mazoea Mitomingi, mie ni kijana wa Mzee Mia, huyu balozi wa kijijji cha Malavidavi.

Naambatanisha noti ya sh. 10,000 ya posa.

Wasalaam,

Figanigga

Tafadhali, msisahau majibu muhimu sana.

Akyamama ningekuwa mwanamme ningekosa mke sababu ya kushindwa kutongoza



THATS ALL..??
:confused2: :confused2: :smile:
 
Dear Maureen
C/O Baba Mkwe
P.o.box 4
JF

I'm here within the walls of my room, thinking about how to be happier this fall. I do not want to feel pain because I miss you so, I am going to drop everything and run into your arms. I want to kiss your hands and feel complete to enjoy the amenity of this season.
My commitment will be only to you, I am in need of care and affection. As I believe these are things that only you can give me to my satisfaction. So I'm on the road to happiness and I will not stop for anything. I long to be near you soon.
I am going to forget my commitments and devote all my time to our love. I hope this decision finds all receptivity on your part. I know you love me very much and all you want is to be by my side. So, it seems, we will satisfy our hunger for each other. We will finally enjoy our love full time.
Who said that so much love just hazes, didn't know what they were talking about. Love is the greatest source of joy and happiness and what we need is more time to enjoy it. I'll forget everything and just love you so much.

Many kisses from this dedicated fool.
 

wapendwa wazazi watarajiwa!

Mimi naitwa fulani bin fulani, ni mzaliwa wa pili katika familia ya Obama yenye jumla ya watoto watano, naomba kuzaliwa katika familia yenu kupitia kwa binti yenu mpendwa Pretta niliyefahamiana naye hapa Jamii forum na facebook. Naomba Kumposa Preta kufuatana na mila desturi na dini na msichana.

katika familia yetu hakuna wala sijawahi kusikia kama kuna magonjwa ya kurithi.

Naambatanisha barua hii na kishika uchumba cha laptop moja aina ya Dell optilex yenye thamani ya dolari elfu mbili.

Wenu mwanenu mtarajiwa


Fulani bin Fulani wa Kigambonino Dar
:A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2:
 
JF ni SHULE tosha aisee...Manake haya makitu kuna kijana kaniambia nimwandikie nikabaki kushangaa tu!
Ahsanteni waungwana manake mie wala sikuandika hizi habari!..it was an ad-hoc marriage..
 
wapendwa wazazi watarajiwa!

Mimi naitwa fulani bin fulani, ni mzaliwa wa pili katika familia ya Obama yenye jumla ya watoto watano, naomba kuzaliwa katika familia yenu kupitia kwa binti yenu mpendwa Pretta niliyefahamiana naye hapa Jamii forum na facebook. Naomba Kumposa Preta kufuatana na mila desturi na dini na msichana.

katika familia yetu hakuna wala sijawahi kusikia kama kuna magonjwa ya kurithi.

Naambatanisha barua hii na kishika uchumba cha laptop moja aina ya Dell optilex yenye thamani ya dolari elfu mbili.

Wenu mwanenu mtarajiwa


Fulani bin Fulani wa Kigambonino Dar
:A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2:

...hahahahaha watu wanarusha nyavu hapa hapa... Preta where are u madame?

 
Last edited by a moderator:
Bandugu kuuliza si ujinga,kuna yeyote anayeweza kunisaidia draft ya barua ya posa maana aibu hatua za mwanzo si nzuri.Msaada please bandugu
 
Wataka oooa usipate tabu mfate mtu mzima naheshima zake wako kibao mtaani watakufahamisha kwa ufasaha zaidi humu wengi vijana itakula kwako washirikishe watu wazima home,mtaani,marafiki
 
Back
Top Bottom