Utani huu vipi jamani?

Utani huu vipi jamani?

Haya usiku mwema jamani. Poleni sana kwa kupiga Lampard a.k.a pasi ndefu. Mnalala bila kula hahahaha labda kama nyie walinzi. Tchaaoooo

Hahahahaaaa....nyooo kama nakuona ulivyokalia mlima wa ugali matembele hapo.....ama kweli ukizoea vya kunyonga....
 
Hahahahaaaa....nyooo kama nakuona ulivyokalia mlima wa ugali matembele hapo.....ama kweli ukizoea vya kunyonga....

Wewe hayo matembele si unakulaga tu christmass. Endelea tu kushindia uji. Mtumbo huo kama una utapiamlo, mtumbo unamwagika tuu pheeew
 
Wewe hayo matembele si unakulaga tu christmass. Endelea tu kushindia uji. Mtumbo huo kama una utapiamlo, mtumbo unamwagika tuu pheeew

Hem kalale huko...au unavutia masaa ili usiwape faida mbu lol maisha mengine magum kweli
 
mama mkwe nakuheshimu..naomba kumjua babamkwe wangu kati ya wafuatao..
hii ni swali la siri.. ninong'oneze kama nikivyokuuliza..
1. Eli79
2. Viol
3. Mokoyo
4. Ntuzu
5. Asprin..

au kama sijamtaja we niambie tu ili nimjue...

hao niliowataja kwa mazingira fulani nimewaona kama na wenyewe ni baba wakwe..
unaninimix...

SIRI YETU.

Hili swali nzito sana
 
Last edited by a moderator:
Lazima akimbie Yule my douta!

Ila mtoto wangu wewe ni mtoto mzuri sn! Yani unapenda sn ndoa yangu na mama yako iwe na Amani!

Me nawapenda wazazi wangu nafurahi kuwaona wote mna amani....dady kweli mom ni mzuri muwekee ulinzi ndomana anasumbuliwa sana....
 
Back
Top Bottom