Utani huu vipi jamani?

Utani huu vipi jamani?

Wewe nenda pale GGM ukaangalie mikataba uone ngosha mie navopiga pesa! Ng'ombe ni Nyama choma tu ya wageni!

Yani hii familia ya wasaga sumu full kushinda kwenye vigodoro. Baba anatokwa povu na mama ndo hadi anazimia kabisa. Mmenishinda waswahili nyie. My missing rib Viol is busy making money, hana muda wa kujibizana na nyie. By the way kule jangwani hameni kabla hatujawaswalia, mvua zimeanza mfyuuuuu
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaa natural my foot...umependa kubaki na makinyanzi hayo au huna hela unajishaua tu hapa? Kinachokusaidia wewe ni uwezo wako wa kubadili mabwana.....utaishia kupata hela ya lipstic tu hufiki popote na kuolewa huolewi ng'ooo....nasubiri huo uchumba wenu ufikishe miaka kumi na sita

Kitu Naturaaaaaaal, mtoto ngozi ya jongoo. Sio wewe ndugu yangu ngozi imekomaa kama ya kenge, kuchana mashuka daily maskini. Vimkorogo vyako vyenyewe vya kijiko buku, sura kama ramani ya Africa kwa hiyo michirizi. Mwili sasa utadhani rainbow, kila kiungo kina rangi yake khaaaa hahahahaha
 
Yani hii familia ya wasaga sumu full kushinda kwenye vigodoro. Baba anatokwa povu na mimi ndo hadi anazimia kabisa. Mmenishinda waswahili nyie. My missing rib Viol is busy making money, hana muda wa kujibizana na nyie. By the way kule jangwani hameni kabla hatujawaswalia, mvua zimeanza mfyuuuuu

Hahahahaaa duuh kweli masikini akipata.....yani kwa vile umepata kazi ya uhausigelo kijitonyama umesahau kabisa kwamba we ulikuwaga mpangaji wetu....chumba kimoja mnakaa watu nane....tukasema maadam ni miaka miwili sasa hamjalipa kodi na hamna dalili ya kulipa tunaomba japo mbaki watatu maana hum ndani hewa nzito....ndo ukajitoa wwe kwenda kutafuta kazi hiyo inayokupa kiburi
 
Hahahaha speak the truth and ashame the devil. Hivi sio wewe niliyekupokea kwenye lori la mbao kutoka Iringa? Umekuja umevaa vihirizi shingoni, siku ya kwanza umenivunjia kitanda changu kisa hujazoea kulala. Sio wewe uliwekewa chakula kwenye plate paper ukaenda kuiosha ukaiweka kabatini. Janamke chafu eti toothpick linatumia linarudisha mle mle. Na bora uliondoka manake ungenipa kesi ya mauaji kwa uroho wako wewe, kula kula tu hadi unaramba shampoo na dawa ya nywele yani weeeeeeeeeeeeeee, ngoja tu nikuache
 
Yani hii familia ya wasaga sumu full kushinda kwenye vigodoro. Baba anatokwa povu na mimi ndo hadi anazimia kabisa. Mmenishinda waswahili nyie. My missing rib Viol is busy making money, hana muda wa kujibizana na nyie. By the way kule jangwani hameni kabla hatujawaswalia, mvua zimeanza mfyuuuuu

Hahahaaaaaa!

Aisee hapa nilipo magoti yanauma kwa kupiga goti kuswali ili mvua isiendelee kunyesha maana Yale
Mafuriko mengine yalitupeleka Mabwepande Lkn tumerudi mji na sisi tunakaa town km wahidi!
 
Last edited by a moderator:
huko sasa unakoenda mama mkwe sio vizuri... mbona mjomba Elli79 akijaga usiku wakati baba hayupo me huwa sisemi?na fundi Viol ananipaga hela za pipi.. ila yule brazameni naniii huwa simpendi kwa sabb mchoyo..

Mkwe huko unakokwenda siko....kesi yako hiyo mi simo
 
Last edited by a moderator:
Kitu Naturaaaaaaal, mtoto ngozi ya jongoo. Sio wewe ndugu yangu ngozi imekomaa kama ya kenge, kuchana mashuka daily maskini. Vimkorogo vyako vyenyewe vya kijiko buku, sura kama ramani ya Africa kwa hiyo michirizi. Mwili sasa utadhani rainbow, kila kiungo kina rangi yake khaaaa hahahahaha

Ndo maaana nakupenda my baby,mwaaaaaaaah
 
Back
Top Bottom