Kwa hiyo unataka kuniambia kuanzia leo nikuite shemeji?
Mmmh honey jamani....
Aaah umbea huu jamani...unisemelee nimefanyaje thathaa??
Honey wako Ntuzu so Mimi nipo na baby Heaven Sent
Nitakubembelezaje bby
We nini?
Honey wako Ntuzu so Mimi nipo na baby Heaven Sent
Mkwe we acha tu hata hamu ya kumfokea nilikuwa nayo basi?
Nenda uendako ila utarudi tu
Honey shikamoo...twende tukalale
Mfyuuuuu atarudi kwa nani? Ulivyokuwa unamkondesha kwa michepuko sasa kwangu kafika bibi. Namlisha tu wali na nyama 2 kg ananenepajee. Umkome laaziz wangu
I love you baby njoo nikukumbatie kifuani tulale