Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,389
makoyo na@Ntuzu nani mme halali?,
Ana mume huyo basi, yani ww shukuru tu Mungu kakuepusha na ukimwi. Kurubembe hili ni hatari zaidi ya Ebola
Last edited by a moderator:
makoyo na@Ntuzu nani mme halali?,
Mie mzima kaka yangu na nimekumiss sana jamani.Hivi kumbe na yeye ni ndugu yetu eeeeh
Ndo maaana nakupenda my baby,mwaaaaaaaah
Ndugu yetu lkn Ana mdomo Huyo!!!!!
Hahahaaaaaa!
Aisee hapa nilipo magoti yanauma kwa kupiga goti kuswali ili mvua isiendelee kunyesha maana Yale
Mafuriko mengine yalitupeleka Mabwepande Lkn tumerudi mji na sisi tunakaa town km wahidi!
Mkwe huko unakokwenda siko....kesi yako hiyo mi simo
Pole mama...huyu mkwe...ngoja nifikirie upya
mama mkwe nakuheshimu..naomba kumjua babamkwe wangu kati ya wafuatao..
hii ni swali la siri.. ninong'oneze kama nikivyokuuliza..
1. Eli79
2. Viol
3. Mokoyo
4. Ntuzu
5. Asprin..
au kama sijamtaja we niambie tu ili nimjue...
hao niliowataja kwa mazingira fulani nimewaona kama na wenyewe ni baba wakwe..
unaninimix...
SIRI YETU.

hallow baby...
Hawa wote uliowataja ni Ma houseboy wangu! Bado kuna kile kibabu Asprin umekisahau!
Na wewe Huna adabu kote apitapo mama yako na wewe unapita kumfatilia?
thitakiiii
Mkwe.....kwa nini unamensheni watu ambao hawapo hapa? Ukiweza kuedit hebu edit bwana
Mume wangu njoo tulale bwana achana na hawa wana stress za maisha
Na wewe Huna adabu kote apitapo mama yako na wewe unapita kumfatilia?
kwa kweli daddy huyu husband atanishinda