Utani huu vipi jamani?

Utani huu vipi jamani?

Nimekuja mami nani tena analeta fujo nifanye mazoezi ya kulenga na ile AK47 yangu mpya?

Alafu my douta muulize mama yako Yule aliemchukulia sim ni KE au ME?

Haya my belovely father ngoja niongee nae, au atakua nanii yule alekuwa anamwita mom sweety.....
 
Heaven Sent why hujaniambia?

Me kila siku nilikuwa nakupa ishara lakini nikaona mwenzangu apeche alolo. Sijui alikupa limbwata la wapi ukakomaa wee na uchumba sugu. Huyo Khantwe ni fupa lilomshinda fisi, hafai kabisaaa yani bora tu ulivyommwaga.

Nahisi alidhani ananiacha alone kwenye kamati kuu ya 30+ single ladies eeeh poyeeeeee
 
Last edited by a moderator:
Me kila siku nilikuwa nakupa ishara lakini nikaona mwenzangu apeche alolo. Sijui alikupa limbwata la wapi ukakomaa wee na uchumba sugu. Huyo Khantwe ni fupa lilomshinda fisi, hafai kabisaaa yani bora tu ulivyommwaga. Nahisi alidhani ananiacha alone kwenye kamati kuu ya 30+ single ladies eeeh poyeeeeee

Shem now nakomaa na wewe tu
 
Last edited by a moderator:
Sa kwa nini mgombane jamani? Unamaanisha we ulikuwa hujui kwamba nina mume?

Hivi bimkubwa huyo aleficha simu yako alikua jinsia gani, ujue saizi nawaza nimwambie dady akutafutie msaidizi mwingine unachoka sana my mom ndomana unasahau vitu kwa ofisi.....
 
Sa kwa nini mgombane jamani? Unamaanisha we ulikuwa hujui kwamba nina mume?

Hivi bimkubwa huyo aleficha simu yako alikua jinsia gani, ujue saizi nawaza nimwambie dady akutafutie msaidizi mwingine unachoka sana my mom ndomana unasahau vitu kwa ofisi.....
 
Lazima akimbie Yule my douta!

Ila mtoto wangu wewe ni mtoto mzuri sn! Yani unapenda sn ndoa yangu na mama yako iwe na Amani!

Honey shikamoo...twende tukalale
 
Back
Top Bottom