Utani huu vipi jamani?

Utani huu vipi jamani?

Tell him barbie oooh. Mwanamke haelewi kama kuna kuachika. Wewe Khantwe kumganda hivyo hubbypti wangu ndo nini? Huna chako hapa, kasugue gaga hukoo



Nani anamganda Huyo bwana wako? Umemuona Khantwe anashida na bwana eeeeeh?
 
Last edited by a moderator:
Nyooo kafieni mbele huko kwa hiyo mnamtangazia nani ajue mnapendana?



Acha nao mpnz wangu! Huyo Heaven Sent kwanza hakufikii kwa uzuri wako mpnz wangu! Ndio maana ka bwana kake kalikua Mara beby Mara kanakuita swty! Kz kweli kweli!
 
Last edited by a moderator:
Nani anamganda Huyo bwana wako? Umemuona Khantwe anashida na bwana eeeeeh?

Shangaa na wewe switie.... Nimelala kifuani kwa ngosha hapa nitoke niende wapi labda
 
Last edited by a moderator:
Pole sana utani mwingine unatia mashaka,ilinitokea kama hiyo tukiwa tunapiga story na wote ni marafiki,baada ya mda natafuta simu kila mtu anadai hajaona, baada ya kutafuta wiki lote mmoja akaniambia "ila flani ndo wa mwisho kushika"nikamtafuta nikamwambia nirudishie simu nahitaji as if najua alichukua,naye hakubisha.inakera sana na hizi simu zina siri kibao,unaweza hata kudhalilika,heri apple hata mtu aibe kama hajui password hata aende kwa fundi haiwezekani heri apasue pasue kuficha ushahidi

Huo ni wizi kabsaa.
 
Acha nao mpnz wangu! Huyo Heaven Sent kwanza hakufikii kwa uzuri wako mpnz wangu! Ndio maana ka bwana kake kalikua Mara beby Mara kanakuita swty! Kz kweli kweli!

Hahaaa si ndo hapo hata mi nashangaa...kamtu kapokapo tu...ukikaona kwa mbali huwezi kujua kanakwenda au kanakuja
 
Last edited by a moderator:
aaaa sasa mama mkwe si nimekuita kizungu??? yaani ni kama kumwita mwanao sweetie.. honey.. etc.. unamwita wife wa nn jamani?

Kwani mimi nimesemaje mkwe...nimeuliza tuuuu
 
Nani anamganda Huyo bwana wako? Umemuona Khantwe anashida na bwana eeeeeh?

Weee tena mkataze huyo kidampa wako kumkaribia honeypie wangu. Kamganda kama ruba, nahisi kuna vitu humpi vizuri huyo sio bure
 
Last edited by a moderator:
Shangaa na wewe switie.... Nimelala kifuani kwa ngosha hapa nitoke niende wapi labda



Alafu Huyo Heaven Sent anatufahamu vzr kabisa kaka zake sie kina ngosha!

Honey wangu achana nao Njoo nkwambie kitu kizuri!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom