Hivi eeh? Ila huyu nahisi hakuwa na lengo tofati maana alirudisha pasipo kuulizwa
Sweety,baby,honey,heart beat
Hahahah kwani ye kasema anaogopa?
Asante my daughter.... Luv u too...umemuona dady eeh?
Sa kwa nini mgombane jamani? Unamaanisha we ulikuwa hujui kwamba nina mume?
Heeeee my dady Ntuzu njoo umwone huyu uje na nanii yako kabisa......
Nimekuja mami nani tena analeta fujo nifanye mazoezi ya kulenga na ile AK47 yangu mpya?
Alafu my douta muulize mama yako Yule aliemchukulia sim ni KE au ME?