Rais utoka madarakani ama kwa kumaliza muda wake, Kupinduliwa, au kupatwa na Mauti🥺🤔Sijatumia neno kustaafu maana ya Mungu mengi,
Rais utoka madarakani ama kwa kumaliza muda wake, Kupinduliwa, au kupatwa na Mauti
Je Una lipi la kumkumbuka ?
Britanicca
Wafanyabiashara wote Dr samia ni tunu kwao!,(ulipaji wa kodi rafiki)Sijatumia neno kustaafu maana ya Mungu mengi,
Rais utoka madarakani ama kwa kumaliza muda wake, Kupinduliwa, au kupatwa na Mauti
Je Una lipi la kumkumbuka ?
Britanicca
Chandomo bana 😊 hamna jema!Nitamkumbuka kwa...
MAUAJI YA KIKATILI OCTOBER 29.
1. Upumbavu.
2. Ujinga.
3. Utekaji
4. Kukandamiza uhuru wa kuongea.
5. Kuzima mitandao na Internet.
6. Kuropoka.
7. Kuzaa kichaa Abdul.
8. Loliondo.
9. Bandari.
10 ujenzi wa zanzibar.
11. Usagaji.
12. Mishungi..
13. Kukosa maji.
14. Ukatili.
15. Kenge wa mama
Hata hiyo miradi waliyoleta mnaosema ndio jema la Samia, si kitu. Maana hela za hiyo miradi hatuwezi kuafford hadi leo so inabidi wakope. Na kukopa amekopa hela nyingi sana kuliko hata miradi iliyopo nchiniChandomo bana 😊 hamna jema!
Anza sasa kuandaa script, usije kusahau vitu/mambo muhimu.Nitaandika kitabu
After measuringINTELEGENT MEN ALWAYS JUDGE AFTER MEASURE BOTH SIDES!..
ni hatariRais utoka madarakani ama kwa kumaliza muda wake, Kupinduliwa, au kupatwa na Mauti