chilumendo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2013
- 3,429
- 4,479
First winner as a tyrant in the world for 2025
Shetani ana zuri?Hamjaona hata zuri 1 mama?
Nacheka kama mazuri [emoji28]Kuteua marehemu. Ile ilikua aibu ya karne
Big Ups ErythrocyteKuuza Bandari, Mauaji na Utekaji
October 29Sijatumia neno kustaafu maana ya Mungu mengi,
Rais utoka madarakani ama kwa kumaliza muda wake, Kupinduliwa, au kupatwa na Mauti
Je Una lipi la kumkumbuka ?
Britanicca
Kumesha kucha haina kulala hiyo!laleni basi wakuu dah
Mauji,utekaji,ulawiti,utapanyaji wa fedha za walipa kodi,kukopa kopa hovyo,upendeleo,kurasimishwa Kwa uchawa,incompetence,rushwa kubwa kubwa,kujiweka madarakani kwa nguvu n.kSijatumia neno kustaafu maana ya Mungu mengi,
Rais utoka madarakani ama kwa kumaliza muda wake, Kupinduliwa, au kupatwa na Mauti
Je Una lipi la kumkumbuka ?
Britanicca
Atakumbukwa kuwa ni rais aliyependa kukopa sana na hela nyingi za mikopo kuzipeleka k Zanzibar kuijenga na kufikia 2027 Zanzibar itakuwa kama Singapore.Sijatumia neno kustaafu maana ya Mungu mengi,
Rais utoka madarakani ama kwa kumaliza muda wake, Kupinduliwa, au kupatwa na Mauti
Je Una lipi la kumkumbuka ?
Britanicca
Hivi Samia na Kikwete wnatumia jina gani humu Jamii forum?Angethibisha yeye mwenyewe kuwepo humu jukwaani, hakika ningeandika gazeti la kuhusu mazuri yake machache na mabaya yake mengi ili ajitathmini.
Mmmmh, itabidi nipate siku nisome post na comment zake ili niunganishe dot.
Mjomba, mimi sifahamu chochote.Upande wa Kikwete yeye ni ipi mkuu?
Sawa mkuuMjomba, mimi sifahamu chochote.
Hawachelewi hawa Mjomba kuniletea Pisikali PM ili inifanyie majaribu ambayo siwezi kuyashinda.Sawa mkuu