Etwege
JF-Expert Member
- Jul 4, 2018
- 7,833
- 19,510
Mbunge wa Geita vijijini Kasheku Musukuma ametoboa siri kuwa kipindi cha Rais Magufuli miradi ilikuwa inaenda kwa sababu alikuwa amedhibiti pasent(%) na alikuwa mfuatiliaji kwelikweli ya kila hatua ya mradi lakini baada ya kuingia madarakani Rais Samia viongozi wameelezekeza macho kwenye 10% ya miradi ndiyo maana wanakimbilia kubuni na kusaini mikataba mipya kila siku kwa sababu miradi mipya ndio yenye pasenti alafu baada ya kusaini hawafuatilii tena kama huo mradi umekamilika au la ndio maana miradi mingi inasuasua ujenzi wake.
Mbunge Musukuma ameeleza zaidi kuwa kipindi cha Magufuli viongozi wenye msimamo wa kupinga rushwa walikuwa wanalindwa na kupewa promotion lakini kwenye serikali ya Rais Samia viongozi wanaoonekana wanamsimamo wamekuwa wakiondolewa serikalini!
View: https://www.facebook.com/share/v/1MAMhxspo8/