Ralph Tyler
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 2,842
- 3,618
'Ndagu' nyingi zinazotangazwa na FM radios za Mbeya ni za feki. Hao waganga wanatafuta pesa kuwa ule utaratibu wa 'wajinga ndio waliwao'Ni bora ukawa na Mia mfukoni lakini umeipata kwa jasho.
Nimetembea hiyo Mikoa yote ni matajiri wachache sana wanaofurahia Pesa zao.
Lakini wengi Pesa zao ni za 'ndagu' zenye masharti lukuki ambayo ni ya kujitesa tu, Usitembee na mwanamke mwingine zaidi ya mke wako, Usivae viatu zaidi ya kandambili, Usinye choo cha nyumbani n.k
Sasa hayo ni mateso ndugu zangu , Raha Pesa uifurahie na sio ikupe Karaha.
Ni kweli aisee,Wakumakete na Wakumbozi ni noma kwa uchawi wa utajiri na hawa nahisi ndio walioambukiza Watanzania.Ila Wasafwa nao mm wachawi,ingawa hawavumi sana kwa uchawi wa kutafuta utajiri.Lakini huwezi msikia Mnyaki, safwa ambaye mchawi. Ila wakumbozi ,wakumakete, wanapenda utajiri wa ndagu ni kweli eti
Sent using Jamii Forums mobile app
mnauana sana kisa pesa, reference: kesi ya msuyaHivi kwa nn wajinga mmekaririgi kua sisi watu wa Kilimanjaro hela zetu ni za bunduki!?watu Wana hustle usiku na mchana kutafta pesa unakuja sema oooh majambazi,oooh sjui waizi!!!pambana tafta acheni kua na chiki na watu wa kaskazini
Sent using Jamii Forums mobile app
"Usitembee na mwanamke mwingine zaidi ya mke wako, "
Kwahiyo hayo ni mateso
Ulishuhudia?Sugu nae na ile hoteli yake pale Mbeya kila siku waganga wanafukia hirizi
lete picha
Inaelekea wewe mgeni na watu wa huku...sisi tushawazoea na tunaona ni kawaida tu,kama ukija huku pawaga/iringa vijijini utakutana na mambo ambayo siku ukiludi kwwnu ukiwasimulia hakuna atakayeamink,watahisi umeangalia movie sasa unawasimulia
NB:kwa kiasi flan usemayo ni kweli na yapo zaidi ya hayo ingawa sio wote wana mambo hayo(asilimia ndogo sana ndio wana hayo mambo)
Usiwadanganue watu.N kweli matajiri wengi Tanzania wanatumia uchawi.Naam Mimi nimefanya kazi huko kusini kwa almost 15 years mkuu,vitajiri vingi 90% vina huo utajir feki na vinakufaga Kama kuku
Ukienda Makete kumechakaa mno hawaruhusiw kujenga nyumba nzuri
Utajiri huo wa kichawi unapatkana Njombe sehemu inaitwa nyumba nitu kwa mganga maarufu mwandulami,awali alikuwa mwakipande lakini alifariki
Makete kupo vzr tu hakuna kupauka Kama unavyowaaminisha watuNi vichawi mno mkuu navifahamu in and out ukienda Makete utalia kumepauka Hakuna kitu wakinga wameikimbia Makete wote hata wakifa wanazkwa uyole aibu
ViHéla vya kishirikina havidumu ndugu zangu
ViHéla vya kudonoa kuku kwa mwakipande hovyo kbs
Hata hawawezi kula vizuri,kulala ,kuvaa, vizuri,wao hawakusoma na watoto wao hawasomeshi,wapo wapo kama mazezeta,si mnaona kuna mbunge wa kanda hiyo,shule hakuna na wala huwezi kumuona anatembea hata na msaidizi,lakini anamaroli zaidi ya 100Mkuu nimekaa Njombe nimejionea matajiri wa huko ni hovyo hovyo
wadanganye wasiokujua usukumani ndio maan wakiyaotea maisha nje ya usukumani hawataki kurudi kwao.Huko kumejaa watu wenye roho za kihasidi tu..hakuna kama SUKUMA LAND ktk tanzania hii,kwanza wakarimu,waaminifu,watiiifu wanamcha mungu,wakweli,wanapenda wageni na hawababaishwi na cha mtu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha...yaani umekaa pawaga miezi kazaa ila unaifaham kuliko wazawa?Mm nimetoka pawaga akuna mambo ayo ww muongo nime kaa zaidi ya miezi akuna kitu kaa icho kuna warabu njaa tuu uko pawaga
Sent using Jamii Forums mobile app