Utajiri wa masharti ni mateso

Utajiri wa masharti ni mateso

Hivi kwa nn wajinga mmekaririgi kua sisi watu wa Kilimanjaro hela zetu ni za bunduki!?watu Wana hustle usiku na mchana kutafta pesa unakuja sema oooh majambazi,oooh sjui waizi!!!pambana tafta acheni kua na chiki na watu wa kaskazini

Sent using Jamii Forums mobile app
Na ninyi muache kutusingizia wakinga eti tuna hela za majini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna kijana mmoja Dsm amekosa amani na furaha moyoni ingawa ana hela ya kufa mtu.

Utajiri wake aliupata kwa mganga
Alipokwenda kuomba dawa aliambiwa atoe kafara mojawapo kati ya mama yake au kizazi chake. Akaamua kutoa kizazi chake(kwamba hataweza kumpatia mimba mwanamke yeyote maishani)

Ni kweli akawa tajiri mkubwa tu, akaoa na maisha yakawa safi kwa kitambo kidogo.

Lakini miaka kadhaa ikapita bila mkewe kupata mimba (hata kupata miscarriage tu)

Ndugu wa kijana wakaanza kumsimanga mkewe na kumtaka jamaa aoe mke mwingine(ingawa ni mkristo)

Mambo yalipomzidia yule kijana ikambidi amwambie mkewe A to Z sababu ya wao kutopata mtoto. Wakakubaliana kuwa mdogo wa mume awasaidie kupata mtoto ili kuilinda ndoa yao. (Ndugu wengine hawakujuzwa jambo hili)

Mdogo mtu akakubali, mke akapata mtoto.

Mtoto wa kwanza alipokuwa, mdogo mtu akapiga game tena. Wakapata mtoto wa pili.

Hapo shida ndipo ilipoanza. Mke akaanza kumpenda zaidi mdogo mtu.
Mdogo mtu naye akaanza kiburi na jeuri kwa kaka yake. Akaanza kudai watoto wake na kutaka jambo hili liwe wazi kwa kila ndugu.

Sijui walimalizana vipi lkn jamaa mali anazo ila hana amani moyoni.
Mmh mbona hii ni muvi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni bora ukawa na Mia mfukoni lakini umeipata kwa jasho.

Nimetembea hiyo Mikoa yote ni matajiri wachache sana wanaofurahia Pesa zao.

Lakini wengi Pesa zao ni za 'ndagu' zenye masharti lukuki ambayo ni ya kujitesa tu, Usitembee na mwanamke mwingine zaidi ya mke wako, Usivae viatu zaidi ya kandambili, Usinye choo cha nyumbani n.k

Sasa hayo ni mateso ndugu zangu , Raha Pesa uifurahie na sio ikupe Karaha.
Mkuu, umejuaje?
 
Maneno mengi mliyo yaandika humu, ni ya kufikirika na pia yamekaa kimapokeo zaidi.

Ila ukweli ni kwamba, siri kuu ya utajiri ni nidhamu ya fedha na kujituma, na pia mikopo ya benki kwa wafanyabiashara.

Mfano huyo Makambako nasikia anakopesheka benk mpaka kiasi cha bilions pesa za Kitanzania! Atashindwa kweli kupiga hatua!! Na tayari biashara ameshakuwa nazo kitambo!!

Ukiamini katika uchawi, kamwe huji kuendelea! Uchawi ni imani tu. Binafsi siamini hata kama una exist!! Ingawa natokea Tanga kunani (kwenye vifuu vinavyo ongea eti!!! Uongo huu!!!)
 
Sasa hao Wakinga mbona wanateseka na utajiri wao? Kama pesa Ni halalali kwanini wanaishi kama panya. Wengine wanavaa mkatambuga huku wanamiliki magorofa. Wengine wanalala nyumba kama wako kwenye mashimo. Wengine unakuta wamefungia ndani mama zao kama misukule?

Hakuna cha juhudi wala nidhamu, ni ushirikina tu period
 
Nini sehemu hizo. Mambo yako Ngende almaarufu kwa Mpiga Miti kule Liwale, Lindi. Wateja wa huko ni Tanzania nzima. Mhaya, Mchaga, Mmakonde, Mluguru, Mfipa, Mnyaturu nk.
 
Ni bora ukawa na Mia mfukoni lakini umeipata kwa jasho.

Nimetembea hiyo Mikoa yote ni matajiri wachache sana wanaofurahia Pesa zao.

Lakini wengi Pesa zao ni za 'ndagu' zenye masharti lukuki ambayo ni ya kujitesa tu, Usitembee na mwanamke mwingine zaidi ya mke wako, Usivae viatu zaidi ya kandambili, Usinye choo cha nyumbani n.k

Sasa hayo ni mateso ndugu zangu , Raha Pesa uifurahie na sio ikupe Karaha.
Sawa
 
Fata yako.
 
Back
Top Bottom