Utajiri wa masharti ni mateso

Utajiri wa masharti ni mateso

Inaelekea wewe mgeni na watu wa huku...sisi tushawazoea na tunaona ni kawaida tu,kama ukija huku pawaga/iringa vijijini utakutana na mambo ambayo siku ukiludi kwwnu ukiwasimulia hakuna atakayeamink,watahisi umeangalia movie sasa unawasimulia
NB:kwa kiasi flan usemayo ni kweli na yapo zaidi ya hayo ingawa sio wote wana mambo hayo(asilimia ndogo sana ndio wana hayo mambo)

Na kilolo je!! Ushirikina upo!!
 
Vipi wewe mmoja wao, nini? Sasa kuwa mwaminifu kwa mkeo ni mateso?
Ni bora ukawa na Mia mfukoni lakini umeipata kwa jasho.

Nimetembea hiyo Mikoa yote ni matajiri wachache sana wanaofurahia Pesa zao.

Lakini wengi Pesa zao ni za 'ndagu' zenye masharti lukuki ambayo ni ya kujitesa tu, Usitembee na mwanamke mwingine zaidi ya mke wako, Usivae viatu zaidi ya kandambili, Usinye choo cha nyumbani n.k

Sasa hayo ni mateso ndugu zangu , Raha Pesa uifurahie na sio ikupe Karaha.
 
Back
Top Bottom