Utajiri wa masharti ni mateso

Utajiri wa masharti ni mateso

Ni bora ukawa na Mia mfukoni lakini umeipata kwa jasho.

Nimetembea hiyo Mikoa yote ni matajiri wachache sana wanaofurahia Pesa zao.

Lakini wengi Pesa zao ni za 'ndagu' zenye masharti lukuki ambayo ni ya kujitesa tu, Usitembee na mwanamke mwingine zaidi ya mke wako, Usivae viatu zaidi ya kandambili, Usinye choo cha nyumbani n.k

Sasa hayo ni mateso ndugu zangu , Raha Pesa uifurahie na sio ikupe Karaha.
Mbona siyo mashart magumu, so utakuwa unaenda kulala hotelin na kula hoteli na kununua Vx tu
 
Nimeishi huko miaka 15 ninefanya kazi halmashauri za mbozi,Makete,Njombe,songea na mbeya jiji
Ni kweli mtupu vitajiri uchwara vya huko vinalala nje,vinashindia andaz vimepaukaaa
Utajiri wa huko ni wa kudonoa kwa mwandulami ,mwakipande hovyo kbs
Sasa faida zao wanazozipata kwenye biashara zao wanazifanyia nini? Kama awafanya matumizi yakijamii mfano kununua majumba magar yakifahari
 
Nilipo jamaa ana majumba zaidi ya 15, Hana raha kabisa asubuhi inabidi apande pikipiki akajisaidie porini na mji unakua kila siku halafu bado kabisa kiumri najiuliza akiumwa au akizeeka itakuwaje? Nibaki hivi hivi pangu pakavu kuliko hiyo
 
Ni bora ukawa na Mia mfukoni lakini umeipata kwa jasho.

Nimetembea hiyo Mikoa yote ni matajiri wachache sana wanaofurahia Pesa zao.

Lakini wengi Pesa zao ni za 'ndagu' zenye masharti lukuki ambayo ni ya kujitesa tu, Usitembee na mwanamke mwingine zaidi ya mke wako, Usivae viatu zaidi ya kandambili, Usinye choo cha nyumbani n.k

Sasa hayo ni mateso ndugu zangu , Raha Pesa uifurahie na sio ikupe Karaha.
Tunaomba ushahidi wa tajiri yeyote akinya porini
 
Hivi na wake watoto wadogo waliokuwa wamechinjwa kule njombe inausiana na ushirikiana mana naona kimya mpk leo
 
Ni bora ukawa na Mia mfukoni lakini umeipata kwa jasho.

Nimetembea hiyo Mikoa yote ni matajiri wachache sana wanaofurahia Pesa zao.

Lakini wengi Pesa zao ni za 'ndagu' zenye masharti lukuki ambayo ni ya kujitesa tu, Usitembee na mwanamke mwingine zaidi ya mke wako, Usivae viatu zaidi ya kandambili, Usinye choo cha nyumbani n.k

Sasa hayo ni mateso ndugu zangu , Raha Pesa uifurahie na sio ikupe Karaha.
Mi navyojua watu wenye hela wana akili pia. We ulijipeleka ukadange, ukakuta washakusoma ndio wakakwambia hawatembei na zaidi ya wake zao sasa unafungua mada. Wewe ndio unateseka
 
Kajaribu tunguli na wewe utajirike.
 
Kweli mkuu hawa jamaa hawafurahii kabisa hii pesa maaana mashart tele sasa cjajua lengo LA utajiri kwa hawa wenzetu ni nini?
Kwani huu utajiri una furaha? Kaone kwa matajiri kuta zilivyo ndefu mbwa walivyowakali, bado ukibugi step unaitwa mhujumu uchumi maisha yako yanakuwa ya segerea
 
Sasa faida zao wanazozipata kwenye biashara zao wanazifanyia nini? Kama awafanya matumizi yakijamii mfano kununua majumba magar yakifahari
Naukitaka kuufaidi utajiri lazima ufe kwa miwaya, au uchomoke mapema
 
Mi navyojua watu wenye hela wana akili pia. We ulijipeleka ukadange, ukakuta washakusoma ndio wakakwambia hawatembei na zaidi ya wake zao sasa unafungua mada. Wewe ndio unateseka
Hakuna cha akili wala juhudi na masharti ya waganga tu. Na hakuna mali ya tajiri wa aina hii inayorithishwa kwa kizazi chake. Au wanafirisika baada ya kuvunja masharti au inapotea mysteriously.

Yale siyo maisha ni utumwa, matajiri hawa kama yule Kasisi wa Paradise Hotel Mbeya anaishi kama msukule tu.
 
Mkuu huu uzi nilikua sijauona,..wakuu hawa matajiri wanapata tabu aisee! Yani wanachofurahia wao ni Title kubwa uraianai ila shida wanayopata ni kubwa. Wakuu tujitahid kusomesha watoto zetu ili wasiangukie katika janga hili, na hii ni kwasababu unakuta mtu ana-hustle miaka mingi ila anaambulia tu mafanikio kidogo, matokeo yake ndo haya ya kutaka mali nyingi za ghafla.
Ni bora ukawa na Mia mfukoni lakini umeipata kwa jasho.

Nimetembea hiyo Mikoa yote ni matajiri wachache sana wanaofurahia Pesa zao.

Lakini wengi Pesa zao ni za 'ndagu' zenye masharti lukuki ambayo ni ya kujitesa tu, Usitembee na mwanamke mwingine zaidi ya mke wako, Usivae viatu zaidi ya kandambili, Usinye choo cha nyumbani n.k

Sasa hayo ni mateso ndugu zangu , Raha Pesa uifurahie na sio ikupe Karaha.
 
Nilipo jamaa ana majumba zaidi ya 15, Hana raha kabisa asubuhi inabidi apande pikipiki akajisaidie porini na mji unakua kila siku halafu bado kabisa kiumri najiuliza akiumwa au akizeeka itakuwaje? Nibaki hivi hivi pangu pakavu kuliko hiyo
Hahaha @instanbulDASM mnaona Mambo ya matajiri uchwara wa njombe?
 
Hakuna cha akili wala juhudi na masharti ya waganga tu. Na hakuna mali ya tajiri wa aina hii inayorithishwa kwa kizazi chake. Au wanafirisika baada ya kuvunja masharti au inapotea mysteriously.

Yale siyo maisha ni utumwa, matajiri hawa kama yule Kasisi wa Paradise Hotel Mbeya anaishi kama msukule tu.
Yap kasisi ukimuona utadhani chokoraa kimwonekano
 
Back
Top Bottom