Utajiri wa masharti ni mateso

Utajiri wa masharti ni mateso

Duh hivi vitajiri vya huko njombe Ni vijinga mno kwann visijifunze ku fight Kama matajiri wa kilimanjaro? Huoni matajiri wa kilimanjaro walivyo develop? Sio unajiita Tajiri alafu eti unalala nje Kama mlinzi
Matajiri wa kilimanjaro nao ni majambazi ya kutumia bunduki hawaoni shiida kuua mtu hili mradi apate fedha hawaoni hatari kukudhukumu hili tu awe tajiri,si bora ya mkinga hata akiuwa ni ndugu yake kuliko kutoa uhai wa mtu huna uhusiano nae,mfano mauaji ya bilionea msuya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni bora ukawa na Mia mfukoni lakini umeipata kwa jasho.

Nimetembea hiyo Mikoa yote ni matajiri wachache sana wanaofurahia Pesa zao.

Lakini wengi Pesa zao ni za 'ndagu' zenye masharti lukuki ambayo ni ya kujitesa tu, Usitembee na mwanamke mwingine zaidi ya mke wako, Usivae viatu zaidi ya kandambili, Usinye choo cha nyumbani n.k

Sasa hayo ni mateso ndugu zangu , Raha Pesa uifurahie na sio ikupe Karaha.
Kama ndagu rahisi haribu wewe uone .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati mwingine ni utaratibu tu wa maisha ya mtu hauna uhusiano wowote na ushirikina.Otherwise endelea na mawazo yako ya ushirikina!
Usipoishi propprtional na hela zako, hasa kama una hela halafu unaishi kama huna hela, lazima uonekane mchawi..... KUNA MMOJA ALIKUWA ANA GESTI PALE FOREST YA ZAMANI MBEYA .. TENA ZILIKUWAGA MARUFU SANA ..MOJAWAPO ILIITWA MAGODA GUEST AND BAR... MWENYEWE NI MWENDO WA NDALA MWANZO MWISHO... MKINGA
 
Ila mbona pale mlowo kuna kijana nae wanasema ana pesa yake niya hivyo lakini hayupo kwenye masharti ya hivyo

Ukimtazama anapiga pamba safi gari safi and coster za kumwaga mbeya tunduma

Labda hizi mambo zipo za aina tofauti sana
Unaweza kuta ana uume kashautoa kafara au ni "mke wa mgaga"

Masharti yako mengi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Matajiri wa kilimanjaro nao ni majambazi ya kutumia bunduki hawaoni shiida kuua mtu hili mradi apate fedha hawaoni hatari kukudhukumu hili tu awe tajiri,si bora ya mkinga hata akiuwa ni ndugu yake kuliko kutoa uhai wa mtu huna uhusiano nae,mfano mauaji ya bilionea msuya

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kwa nn wajinga mmekaririgi kua sisi watu wa Kilimanjaro hela zetu ni za bunduki!?watu Wana hustle usiku na mchana kutafta pesa unakuja sema oooh majambazi,oooh sjui waizi!!!pambana tafta acheni kua na chiki na watu wa kaskazini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nani kakwambia kakiri? Subiri mahakamani ujue kakiri au la. Chanzo kingine si sahihi
 
Back
Top Bottom