Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,508
- 13,976
Wengine wanawala hadi mama zao wazazi ili wawe matajiri.
Mimi naijua, taja kama kweliSiyo kwa chuki...naishi Uchagani, vichaa ni wengi Sana tena wale anaoishi majumbani (anayeifhamu vizuri tarafa ya Mkuu-Rombo) naweza kumtajia familia hadi familia, sijui kisa au chanzo ni nini....Mungu tusaidie
Ukiwa na mawazo hayo tutakufa masikiniSiyo kwa chuki...naishi Uchagani, vichaa ni wengi Sana tena wale anaoishi majumbani (anayeifhamu vizuri tarafa ya Mkuu-Rombo) naweza kumtajia familia hadi familia, sijui kisa au chanzo ni nini....Mungu tusaidie
Matajiri karibu wote wa mkuu nawajua naniwapambanaji kweli kweli kwenye kusaka besaUkiwa na mawazo hayo tutakufa masikini
Kwann wao malawi wasitajirike kwa uchawi huo.Nachojua kule wanafata mercuryHiyo mikoa uchawi au nguvu za kishirikina ili watajirike wanazitoa Malawi
Huyu si ndo aligongwa na gari kkoo akiwa anasukuma mkokoteni? Alikuwa amebeba mzigo wa dukani kwake anasombelea ili ausafirishe kwenda Njombe? Sasa tajiri mzima kusukuma mkokoteni sio masharti hayo?Widambe alikosea masharti pale Kariakoo?
Washamba sanaHuyu si ndo aligongwa na gari kkoo akiwa anasukuma mkokoteni? Alikuwa amebeba mzigo wa dukani kwake anasombelea ili ausafirishe kwenda Njombe? Sasa tajiri mzima kusukuma mkokoteni sio masharti hayo?
Wewe ndo mshamb. mtu kuamua kufanya kazi yake kuepusha upotevu wa bidhaa .Washamba sana






Utajiri wa Pemba una sharti moja tu..... Umkule mkeo tigo muda wa mchana. Basi
Ni Kupungukiwa Akili Kukubwa SanaKuna tajiri wa kiarabu pale mansese.yule mzee ana maghorofa lakini analala nyumba yake ya zamani ya chini huku anavaa ndara
Kaka. Utapata utajiri wa mafuso, mabasi, majumba na mshamba lkn yatakusaidia Nini Kama yatakwisha ndani ya miaka Saba huku ukiwa na mzigo wa dhambi isitoshe utapata tabu sana wakati unakaribia kufa.Mkuu njoo inbox plz
Kaka. Utapata utajiri wa mafuso, mabasi, majumba na mshamba lkn yatakusaidia Nini Kama yatakwisha ndani ya miaka Saba huku ukiwa na mzigo wa dhambi isitoshe utapata tabu sana wakati unakaribia kufa.
Jiulize na waulize ndugu zako kwanza