Joseph lebai
JF-Expert Member
- Jul 19, 2017
- 8,447
- 8,698
Unakuta mtu anazungusha round bar ila mama mzazi kalalia chai ya rangi, ndio masharti yenyewe. Akibahatika kumpa mzazi pesa anampa na mkono wa kushoto, au zinatupwa mezani akaokote. Ndio maana inasemwa " maisha ni mchezo na siri ya hali ya juu"
