Wewe upo mbeya naeneo ya mlowoKijana gani huyo mtaje yaweza kuwa unanisema humu?



Usitembee na mke zaidi ya mkeo"Usitembee na mwanamke mwingine zaidi ya mke wako, "
Kwahiyo hayo ni mateso
Wewe umejuaje mkuuNi bora ukawa na Mia mfukoni lakini umeipata kwa jasho.
Nimetembea hiyo Mikoa yote ni matajiri wachache sana wanaofurahia Pesa zao.
Lakini wengi Pesa zao ni za 'ndagu' zenye masharti lukuki ambayo ni ya kujitesa tu, Usitembee na mwanamke mwingine zaidi ya mke wako, Usivae viatu zaidi ya kandambili, Usinye choo cha nyumbani n.k
Sasa hayo ni mateso ndugu zangu , Raha Pesa uifurahie na sio ikupe Karaha.
Nini wewee myebusi jikite kwenye madaMkuu samahani wewe una utajiri wa shi ngapi!
Hahahaha Aiseee,Muhimu kuwa na pesa hayo mengine hayana shida heshima unapata tosha
Waganga ni watu wajanja sana. Kwa masharti hayo umakuwa unabana matumizi ya fedha uliyonayo na itabaki kwenye mzunguko wa biashara tu. Utakosaje kuwa na pesa nyingi wakati unazalisha sana unakula kidogo. Tufunguke akiliUsitembee na mke zaidi ya mkeo
Usile nyama
Usile hotelini
Usilale gesti
Usivae nguo nzuri
Usinywe pombe
Usipeleke watoto shule za kulipia n.k n.k
Kwa masharti hayo unahitaji ndagu tena au ujinga tu
Fact mkuu, halafu mm nadhani hizi ni story tu nilishawahi fuatilia watu wanaosema Wana pesa hizi za kificho, nilichoona jamaa ni wachapakazi balaa, yaani wanafight ile mbaya ...nikawa najiuliza ni kweli yanayosemwa au ni wivu wa wanazengo Kama unapesa za masharti why ufanye kazi kwa kujituma namna hiiWaganga ni watu wajanja sana. Kwa masharti hayo umakuwa unabana matumizi ya fedha uliyonayo na itabaki kwenye mzunguko wa biashara tu. Utakosaje kuwa na pesa nyingi wakati unazalisha sana unakula kidogo. Tufunguke akili
Mkuu uliwafuata au unasimuliwa?Uliwafuata waganga wa hayo maeneo Sasa wamekupa intro either ukubali uwe Tajiri au ukatae uwe masikini, au mwenye kipato unachokipata Sasa....
kuna mmoja yupo pale Iringa akihisi mkojo anapanda baiskeli anakwenda kukojoa njia panda,Da!!!!!!!!
Ila mbona pale mlowo kuna kijana nae wanasema ana pesa yake niya hivyo lakini hayupo kwenye masharti ya hivyo
Ukimtazama anapiga pamba safi gari safi and coster za kumwaga mbeya tunduma
Labda hizi mambo zipo za aina tofauti sana
Basi unaweza chagua isiyo na masharti ya kijingaNdivyo ilivyo.
IlasiiiiiHapana yule dogo siyo ndagu namfahamu sana ameishi maishs magumu sana alipata mtaji baada ya kupiga udalali wa nyumba alipata around 20 mil ndo kachomoka.Kwa huko songwe king kong wa haya mandagu ni dingi mmoja wa vwawa mkinga anaitw chau.....nini sijui??
Mwana F.A anakwambia ashawahi sikia fununu eti na yeye amekufaYoung D ft Ben pol ft Mwana FA-Fununu